Nyota wa Arsenal, Matteo Guendouzi hajafanya mazoezi na kikosi cha kwanza kwa muda baada ya kuzuiwa kufanya hivyo na kocha Mikel Arteta. Mfaransa huyo amekuwa akifanya mazoezi na kocha wa viungo bila ya wachezaji wenzake kwa majuma mawili baada ya uamuzi wa kumkaba Neal Maupay kwenye koo wakati the Gunners ilipofungwa 2-1 dhidi ya Brighton mwezi Juni.

Guendouzi alikwepa panga la lakini Arteta amekasirishwa na kitendo hicho cha kiungo huyo na kumweka nje kwenye mechi nne za mwisho. Alipozungumzia suala hilo, Arteta amesisitiza kuwa hali haijabadilika kuhusu suala hilo na kusisitiza hasira za Guendouzi zimeendelea kuwa tatizo.
Guendouzi alimkaba Maupay kwenye koo. Lakini ripoti zinasem ahali imeendelea kuwa mbaya kuliko awali kwasababu Guendouzi hajafanya mazoezi na wachezaji wenzake kwa muda.

Guendouzi aliitwa kwenye kikako na Arteta pamoja na Mkurugenzi wa Ufundi Edu baada ya tukio na wawili hao walishangazwa na na majibu ya maswali waliouliza kuhusu tukio. Mfaransa huyo ataendelea kufanya mazoezi peke yake mpaka hali itakapobadilika.


Gabriel
Huyu jamaa inapoelekea anaanza kuwauz ata mashabiki maana hasira zingine matokeo yake n hasara kubwa maana hapa inatatokea kuwa had muda huu anajikuta afanyi mazoez na kiwango chake kinazid kushuka na tatizo hilo linaweza kumchanganya kisaikolojia maana hata maupay mchezaji ambaye aliyemfanyia madhambi yuko na anaendelea na mpira na ukiangalia vzur inavyoonekana guendouz hapa anaonekana kama lile tukio limemfanya awe mnyonge sana na kuhisi ameonewa ila ukiangalia si kwel bal Ni Jambo ambalo waamuz waliliona
Hope mwaikuka
Pole yake
Issa
Ni kitendo cha utovu wa nidhamu alichofanya ingawaje ni mchezaji mzuri na
Inabidi amuombe radhi maupay pia na apate adhabu zaidi ya hiyo
Povel
Duh majanga kwl sema nidhamu ndo kila kitu bhn
Sabrina
Maoni:Duuuh Guendouzi unaagenda gan?
Amiri Kayera
Kwer kwenye mpila nidham kitu muhim sana
neema hassan
Asante kwa habari za burudan na michezo#meridianbettz
Theckla
Heshima kazi
Furahav
Nidhamu ndo kila kitu.
fatumakasom
Duh noma
Njiku
Safii mchizi anazingua sanaa
Theonestina
Duuuh atar
Shafii
Guenduz ni bado mchezaji mdogo lakini anashindwa kuheshimu eshima ya mpira still yupo arsenal anapaswa kua na nizamu na kujilikana ulimwenguni na kufanya makubwa kila mmoja akafaham uwezo wake.
Samiah
Kiburi hakifai
Hamidu
Asante kwa update za michezo
Saupha mohamed
Habari mzuri
Omary lukumbi
Kibur si maungwana arteta anataka kumfundisha nidhamu mpira ni nidham ni taaluma sio uhuni tuu
Neema juma
Sio kila sehemu pakuleta kiburi kakosea
Latifa juma mohamed
Habar njema, ukizingua km daladala ukishuka mwezio anakalia siti,kazi na heshma
Rehema
Kazin usilete kiburi
Amani
ukiangalia vzur inavyoonekana guendouz hapa anaonekana kama lile tukio limemfanya awe mnyonge sana na kuhisi ameonewa ila ukiangalia si kwel bal Ni Jambo ambalo waamuz waliliona# meridianbettz
Zuhura omary kindamba
Tabia njema ni jambo la busara sana
Caroline
Pole Guendouzi.acha kiburi
Asia Abdy
Hajafanya vizuri
warda
Kocha nae anavisasi huyu#Meridianbettz
Adelta
Heshima kazi
Ester jackson
Sheria na kanuni za mchezo zinatakiwa zizingatiwe ukienda kinyume lazima upate adhabu
Magdalena
Mtu ukiwa na kiburi huwezi kukubalika na mtu
felister
siku nyengine atajifunza
Dorophina
Ilitakiwa wampe adhabu kubwa zaidi ya hiyo maana anakiburi
isha
Atajilekebisha kila kitu kitaenda sawa
Genia Sikaluzwe
Duh hatari
Evaluziga
Pole yake
Johnmary joel
Nidhamu ni muhimu sana katika kila eneo siyo mpira tu#meridianbett
Khadija
Kiburi sio kizuri#meridianbettz
devotha
naamini atabadilika
Isaya massawe
Kiburi kazini si kizur chakufanya aombe radhi kwa kocha
Lydia Emmanuel Magoti
Kibuli kwenye kaz siho vizuri hakifai
Ernest
Guendouzi anatakiwa ajifunze nidhamu uwanjani na nje ya uwanja