Klopp Aikumbusha Arsenal, Wanacheza Anfield.

Wakali wa soka wanakwambia “mind games” ni mbinu ya mchezo. Jurgen Klopp, Solskjaer, Guardiola na Tuchel ni miongoni mwa makocha wanaotumia mbinu hiyo.

Liverpool watakua uwanjani Jumamosi hii kuwaalika Arsenal. Huu ni mchezo ambao, kwa miaka mingi matokeo ya 0-0 sio kitu kirahisi kutokea. Iwe ni Anfield au Emirates, lazima nyavu zote zitikisike.

Mikel Arteta hajapoteza mchezo kati ya mechi 8 walizocheza hivi karibuni. Klopp anaingia kwenye mchezo huu akiwa ametokea kupigwa 3-2 na West Ham United pale London Stadium. Hakika, ni timu mbili zinazoingia uwanjani zikiwa na hisia mbili tofauti. Hisia za timu gani zitageuka kuwa motisha au makaa ya moto? Arteta anajua kabisa, anaingia kwenye uwanja ambao sio mrahisi. Amekiri hili kwenye mkutano wake na waandishi wa habari mapema Ijumaa hii.

“Kupata matokea dhidi ya Liverpool wakiwa Anfield, unahitaji kucheza katika kiwango chako cha juu zaidi”

Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta.

Kauli ya Arteta inaongezewa nguvu na kama kumbusho kwao kutoka kwa Jurgen Klopp. Kocha huyu wa Kijerumani amekiri kuwa, Liverpool bado haijapata matokeo mazuri ambayo pengine wanaridhika nayo sana lakini, pamoja na yote – Jurgen amesema,

“Arsenal ni timu nzuri ya soka lakini tupo [Liverpool] Anfield na tunatakiwa kuonesha hilo”.

Nani ni nani wikiendi hii? Ifuate Odds yako ya kibingwa kupitia Meridianbet kwa kubofya hapa!


WIKI NJEMA NA CRAZY TIME CASINO!

Unasababu milioni za kucheza unavyotaka ukiwa na mabingwa meridianbet, lakini unasababu moja ya kushinda mamilioni katika kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo maridhawa wa Crazy Time unakupa sababu hizo kuwa mmoja wa washindi leo hii.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.