Klopp Aiweka Liverpool Mbali.

Ni miezi miwili imesalia kuelekea ufunguzi rasmi wa dirisha la usajili barani Ulaya. Jurgen Klopp ameiweka Liverpool mbali na Erling Haaland.

Kwa miaka mingi, Liverpool sio miongoni mwa vilabu vinavyoweza kuweka pesa ndefu mezani ili kumsajili mchezaji. Haijalishi mchezaji huyo anaumuhimu kiasi gani kwao, miaka yote, The Reds wanasajili wachezaji kulingana na uwezo wao wa kifedha.

Haaland ni miongoni mwa wachezaji wanaotegemewa kutikisa dirisha kubwa la usajili kwa kile kinachodaiwa kuwa, kuna uwezekano mshambuliaji huyo akaondoka Borussia Dortmund baada ya msimu huu.

Klopp

Inaamika kuwa, ili kukamilisha usajili wa Haaland, takribani £250M zitahitajika kwa mkataba wa miaka 3-5. Kwa kiwango hiki cha pesa, Klopp ameweka wazi kuwa, gharama hizi ni kubwa mno na, haimuingii akilini wala hafikirii kabisa kujihusisha na usajili wa mchezaji huyo.


3500 NI YAKO UKIJIUNGA TU MERIDIANBET!

Una nafasi ya kupata bonasi ya shilingi 3500 kwa ajili ya kuanza safari yako ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Kubeti Poa - Bonasi Kubwa

Jisajili sasa

Acha ujumbe