Mshambuliaji wa Arsenal Alexandre Lacazette ataondoka ndani ya klabu hiyo mkataba wake utakapo kamilika mwishoni mwa mwezi huu, Gunners wamethibitisha.

Lacazette, 31 alijiunga Arsenal akitokea Lyon ya Ufaransa mwaka 2017 na kuichezea klabu hiyo ya London kaskazini mechi 206 na kufunga magoli 71 akivalia jezi ya Gunners.

 

lacazette, Lacazette Aagwa Rasmi Arsenal., Meridianbet

Msimu ulioisha mshambuliaji huyo ambaye akikuwa kapteni wa timu hiyo akichukua nafasi ya Aubemeyang amecheza mechi 36 akifunga magoli 6 na kuisaidia Arsenal kurejea katika michuano ya kimataifa ambapo watacheza Ligi ya Europa baada ya kumaliza nafasi ya 5 katika msimamo wa EPL.

“Laca amekuwa mchezaji bora kwetu. Amekuwa kiongozi ndani na nje ya uwanja pia amekuwa muhamasishaji kwa vijana wadogo.” alisema meneja Mikel Arteta.


SHINDA SAMSUNG A32 NA AVIATOR

SHINDA Samsung A32 ukiwa na mchezo wa Aviator kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet! Kwea pipa ukusanye zawadi zako pamoja na ushindi mnono wa mkwanja!

kasa wa njano, Kasa wa Njano Awapa Ubingwa wa CL Liverpool., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa