Lautaro Martinez amekubali kuongeza kandarasi mpya na timu yake anayoitumika kwa sasa ya Inter Milan, ambapo katika mkataba huo mpya hakuna kipengele cha kuruhusiwa kuachiwa.
Martinez ambaye alikuwa anafuatiliwa na vilabu vya Arsenal na Tottenham katika dirisha la majira ya kiangazi.

Kwa sasa usajiri wa Martinez utakuwa mgumu kutokana na kukubali kuongeza kandarasi nyingine ambayo itamuweka na kufungumana na klabu kwa muda mrefu ambapo hakuna kipengele ambacho kinachomuwezesha kuondoka.
Lautaro Martinez mwenye umri wa miaka 24 alikuwa anathamani ya £55millioni, wakati akiwa amebakisha miaka miwili katika kandarasi yake kwenye dirisha la usajiri lililopita, kwa sasa thamani yake itapanda zaidi kulingana na kandarasi ambayo atakwenda saini.
Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii!


