Leicester City Watwaa Super Cup EPL.

 

Leicester City itaanza msimu wa 2021/22 kama washindi wa Kombe la Jamii la FA baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya mabingwa wa Ligi Kuu Manchester City huko Wembley hapo jana.

 

Leicster waltwaa Kombe la Emirates kwa mara ya kwanza muhula uliopita, na jan wakifanikiwa kutwaa taji jingibe baada ya goli la mpira wa adhabu kutoka kwa Kelechi Iheanacho.

Leicester City wametwaa Community Shield kwa mara ya pili katika miaka 113 ya mafanikio ya mashindano na kuandika historia nyingine baada ya miaka 50 kupita, wakifanikiwa kutwaa Ligi kuu, FA Cup na Kombe la ligi.


KUWA SHUJAA KATIKA KASINO ZA MERIDIANBET!

SHOOT! mchezo unaokupa nafasi ya kupambania ushindi wako mkubwa kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet! Usisubiri hii, jiunge sasa kufurahia ushindi!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe