Ligue 1: Takwimu za Klabu 10 Msimu Huu

Umewahi kupata ugumu wa kujua takwimu za klabu bora kwa msimu huu wa mwaka 2019-2020 kwenye Ligue 1 Conforama?

Basi, usiwaze na kuumiza kichwa tena…

Kwa kitendo chao cha kushinda taji la tisa la Ufaransa (baada ya kutwaa yale ya miaka ya 1986, 1994, 2013, 2014, 2015, 2016, 2018 pamoja na 2019), klabu ya soka ya Paris Saint-Germain wameweza kusawazisha idadi sawa na ile ya mataji ya klabu ya Olympique de Marseille na kwa sasa wamebakiwa na moja pekee kuweza kuvunja rekodi ya wengine, Saint-Etienne.

4-2-3-1 ndiyo imekuwa mfumo uliotumika zaidi katika Ligue 1 Conforama msimu huu, mfumo huo umetumika katika misimu 169. Montpellier na Rennes zilikuwa ni klabu mbili ambazo hazijatumia kabisa mfumo huo kwa msimu huu wa Ligue 1 Conforama.

OM na Rennes wamepaa juu sana

Olympique de Marseille alimaliza akiwa katika nafasi ya pili kwenye Ligue 1 Conforama kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2012-2013.

Rennes walimaliza msimu huu kwenye ligi ya Ligue 1 Conforama kwa msuko suko sana katika historia. Mpaka kufikia sasa, klabu ya soka ya Rennes ilikuwa ni klabu ambayo ilicheza misimu mingi ya Ligue 1 Conforama (62) bila ya kufanikiwa hata kufika katika nafasi tatu bora za juu.

LOSC wamemaliza katika nafasi nne za juu kwa mara ya pili mfululizo msimu huu, inafuatia ile ya misimu minne ya kushinda kutwaa nafasi hiyo.

Mizunguko 17 na 19 iliipamba michuano ya msimu wa Ligue 1 Conforama wakiwa na magoli 35 yaliyofungwa.

Umiliki wa mpira na burudani ya klabu ya soka ya PSG

PSG wamekuwa na umiliki mkubwa wa mpira kuliko klabu nyingine yeyote katika ligi hiyo kubwa (65.5%)

PSG ilikuwa ndiyo klabu pekee ya Ligue 1 Conforama kushindwa kabisa kutoa sare ya 0-0.

LOSC pamoja na PSG walijipatia penati nane msimu huu, wamewazidi wengine wote.

Monaco walijikusanyia jumla ya kadi nyekundu 10 msimu huu, wamezizidi klabu zote kwenye mashindano hayo.

36 Komentara

    Makala nzuri Sana asanteni kwa kutujuza

    Jibu

    Uchambuzi mzuri#Meridianbettz

    Jibu

    Tnx sana meridianbet kwa update

    Jibu

    Asante kwa taarifa nzuri# meridianbet

    Jibu

    mambo n moto

    Jibu

    Asanteni kwa tarifa meridian.

    Jibu

    Zipo vizuri sanaa

    Jibu

    PSG wanakoenda ni kuvunja tu hiyo rekodi ya ST ETTIENNE, kwakua na mfurulizo mzuri wa kiushindani

    Jibu

    Asante meridianbet kwa taarifa

    Jibu

    Mmetisha sana meridianbet kwa taarifa

    Jibu

    Meridian mnachambua mambo ipasavyo safi sana

    Jibu

    Asante meridian bet tz kwa update

    Jibu

    Safi

    Jibu

    PSG wapo vizuri

    Jibu

    PSG wanajitaidi wanajuudi ya kuitangaza timu yao

    Jibu

    Habari nzuri asante meridian

    Jibu

    Asanten meridian kwa taarifa

    Jibu

    Mnajua kutuelewesha vtu vzur kwakwel

    Jibu

    Taarifa nzuri #meridianbettz

    Jibu

    Da naona Monaco hali nitete kadi nyekundu kumi sio mchezo

    Jibu

    safi uchambuzi bomba

    Jibu

    Asante meridianbet kwa taarifa za takwimu#bundasilga

    Jibu

    Uchambuzi umetulia Sana huu

    Jibu

    Mambo mazuri

    Jibu

    Kwa habari za michezo na burudani meridianbettz pekee

    Jibu

    PSG ni nomaaa sana.

    Jibu

    asante meridian kwa kutuletea uchambuzi mzuri

    Jibu

    Pata makala kemkem ukiwa na app ya meridianbet.

    Jibu

    Nakala hii imekaa poa.
    Kwa pale France .PSG ataendelea kutamba Kwakua ligi yao Haina mvuto,kwa bingwa Kila siku huyo huyo.#meridianbettz

    Jibu

    Kuna muda unatamani timu kama PSG iamie league nyingine ili kupima ubora wake, hawa jamaa hawana bahati na mashindano makubwa tuu!!!!!

    Jibu

    hawa wametukosea sana kuwapa psg ubingwa wa mezani japo walikuwa na asilimia 100 za kuchukua anyway hii makala ni nzur

    Jibu

    Mwandiko mzuri sana …

    Jibu

    Kwa habari za michezo meridian mko vizuri

    Jibu

    Psg ninoma sanaaa

    Jibu

    PSG iko vizuri

    Jibu

    Asantee kwa taarifa meridianbet

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.