'Lockdown" Yamkwamisha Shiboub, Simba

Miamba Ligi Kuu Tanzania Bara watasubiri zaidi kupata huduma ya kiungo huyo wa Sudan, baada ya nchi hiyo kuongeza muda wa Lockdown.
Simba SC wanahangaika kuhakikisha wanamrejesha kiungo Sharaaf Shiboub kunako klabuni.

Kiungo huyo ambaye ni mzaliwa Sudan, wakati VPL iliposimama kwasababu ya janga la Corona lakini bado hajarejea pamoja na Ligi kurejea tangu Juni 13.

Msemaji wa Simba, Haji Manara wiki iliyopita aliahidi klabu inafanya kila kinachowezekana kuhakikisha kiungo huyo anarejea, lakini inaweza kuwa changamoto kwani lockdown imesogezwa hadi Juni 29.

Simba ilikuwa na mataumaini Lockdown nchini humo ingemalizika Jumamosi hii, lakini serikali imeongezwa hadi Juni 29.

Kwa uamuzi huo wa serikali ya Sudani inamaana Shiboub atakosa mechi za Simba dhidi ya Tanzania Prisons, Mbeya City, na Ndanda FC.

62 Komentara

    Mipango ikifanyika kila kitu kitakwenda sawa..natumai atawasiri tu Tanzania na mambo mengine yataendelea

    Jibu

    Habari mbaya kwa mashabiki wa simba lkn bado wakali wapo watawakilisha vizuri mechi zote

    Jibu

    Shiboub a.k.a muhogo mchungu fundiiiii mmoja tok Sudan habar mbaya kwa mashabik wa Simba na wapenda VPL

    Jibu

    Hii ni habari mbaya kwa Tim ya Simba

    Jibu

    Asante meridian kwa taarifa

    Jibu

    Ni habari mbaya kwa Simba kukosa huduma ya mchezaji muhimu Kama shiboub

    Jibu

    Habari mbaya Sana kwa Wana simba

    Jibu

    Mi ningependa hikifika hiyo trh 29 wapeleke mbele zaidi..!

    Jibu

    Duu hii nihabali mbaya kwakrabu yasimba mnakwama wapi msimbazi

    Jibu

    sad news kwa mashabiki wa simba

    Jibu

    Haaa wasubiri tu corona iishe

    Jibu

    Dah pole yao simba

    Jibu

    Dah inasikitisha Sana lakini hasubiri tyuu corona ikipungua mipango itakaa sawa

    Jibu

    Ni habari mbaya kwa wapenzi wa simba

    Jibu

    Daa!siku chache zijazo kiungo fundi atakuja kukiwasha#. Meridianbettz

    Jibu

    Sio habari nzuri hii kwa wanasimba

    Jibu

    Huyu corona haondoki tuu.

    Jibu

    Duuh simba jamani itakuaje 🥱🥱🥱🥱🥱🥱 mimi nimeshavulugwa

    Jibu

    Duh! Simba inatakiwa kuendelea na mechi bila kufikiria pengo la Shiboub #meridianbettz

    Jibu

    Sio habar nzuri kwa mashabiki wa simba

    Jibu

    N msudan na mchezaj makin sana ila inabidi tuu watafute mtu wa ku replace nafasi yake mpk pale lockdown itapo ondolewa kwenye nchi yao na kuweza kurud tena kazin

    Jibu

    Bado simba wanaweza kucheza bila yeye

    Jibu

    Hii sio Habali njema kwa wanachama wa simba ila nafasi bado wanayo na watafanya vizuri

    Jibu

    Hii sio habari mbaya kwa simba tuu bali mpka kwa sisi mashabiki

    Jibu

    Wafanye kama ana Injury tu

    Jibu

    Maoni:Duuuh simbaa 😴

    Jibu

    Avumilie tu

    Jibu

    Pole Yao simba

    Jibu

    Dah aludi tumemmix mwamba

    Jibu

    Habari mbaya kwetu cc mashabiki wa Simba

    Jibu

    asnte kwa taarifa

    Jibu

    Daah mashabiki wa simba tunasikitika sana

    Jibu

    Abakie tu huko ubingwa wenyewe Kama tayari washachukua simba

    Jibu

    Shiboub Bonge la kiungo huwa naenjoy kumuona uwanjani akifanya kazi yake

    Jibu

    Shiboub tumekumis sana wana msimbazi

    Jibu

    Shiboub kiungo Bora, wanamsimbaz tunasikitika kwa taaarif , natumai mung atamsaidia atarrud uwanjan

    Jibu

    Atatafika tu kila kitu kikikaa poa

    Jibu

    Duh habari mbaya kwa mashabiki wa simba

    Jibu

    apumzike tu wapi vijana wa kufanya kazi yake

    Jibu

    Washanivuruga mm watu wa simba

    Jibu

    Daaa kweli Sudan wapo vizuri lockdown mpaka leo#Meridianbettz

    Jibu

    Daaa kweli Sudan wapo vizuri lockdown mpaka leo#Meridianbettz

    Jibu

    Sudan mnatukwamisha Sana sisi mashabiki wa simba

    Jibu

    Ooh! Poleni sana simba ila ata asiporudi kombe mtachukua

    Jibu

    Duh pole sana simba

    Jibu

    Nawapa pole Sana Simba

    Jibu

    Wasilalamike sana wanasimba mbona wanamajembe yakutosha

    Jibu

    Maoni:habar mbaya kwa timu ya simba

    Jibu

    Habari mbaya kwa mashabiki wa simba.yaan hii corona hatari sana#meridianbettz

    Jibu

    Habari mbaya kwa wana simba

    Jibu

    Lock down imewaathir wachezaji wengi sana hapa nchin

    Jibu

    Pole yao

    Jibu

    pengo la Shiboub wazibaji wapo #meridianbettz

    Jibu

    Habari hizi siyo nzuri kwa simba#meridianbett

    Jibu

    Pole kwake

    Jibu

    Duuuh

    Jibu

    Pole yao

    Jibu

    Moto ule ule kwa wanasimba bila hata huyo shibuob tutashinda

    Jibu

    Hili ni pengo kwa kwa timu ya simba

    Jibu

    Ahsante kwa taarifa

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.