Klabu ya Man City leo itajitupa uwanjani kumenyana na klabu ya Fulham ili kutafuta nafasi ya kujikita kuileleni kwenye msimamo wa ligi kuu ya Uingereza ambao unaongozwa na klabu ya Arsenal.

Vijana hao wa Pep Guardiola watakua nyumbani siku ya leo kucheza na klabu ya Fulham ambao kwa siku za karibuni wamekua na kiwango kizuri na kuwafanya kusogea mpaka nafasi ya 7 kwenye msimamo wa ligi kuu ya Uingereza.

Klabu ya Man City wao wanatafuta anafasi ya kukaa kileleni ambapo klabu hiyo ipo nafasi ya pili nyuma ya vinara wa ligi hiyo klabu ya Arsenal ambao wana alama 31 huku wao wakiwa na alama 29.man cityKlabu ya Man City wamekua kwenye kiwango bora na kama watafanikiwa kushinda mchezo wa leo dhidi ya Fulham watakaa kileleni kwa alama moja kusubiri mpaka kesho klabu ya Arsenal itakapocheza mchezo wake.

Klabu hiyo inapata faida kwakua klabu ya Arsenal kesho wao watacheza dhidi ya klabu ya Chelsea kwenye London Derby jambo ambalo Manchester City kwao inakua kama faida kwakua wapinzani wao watacheza mchezo mgumu.

aviator

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa