Manchester City inataka kumsaini kiungo wa Paris Saint-Germain, Edouard Michut. City tayari wamesema wamepeleka ofa kumnunua kinda huyo mwenye miaka 17 ambaye amebakiza mwaka mmoja kwenye mkataba wake na PSG.
Japo, hata kama dili halitafikiwa, City wanaamini watamsaini bure mkataba wake ukimalizika mwaka 2021, pale ambapo atakuwa akidaiwa gharama za mazoezi kwenye hiyo ya Ufaransa.
Vilabu vingine vya Premier League, Hispania na Italianwanawinda saini ya kinda huyo, ambaye amefanishwa na nyota wa PSG, Marco Verratti.

Michut ni mchezaji wa Ufaransa chini ya miaka 17 ambae amkuwa aking’aa na timu ya PSG chini ya miaka 19, kabla ya Ligi za Ufaransa kuhairishwa kwasababu ya Corona.


Ester mmakasa
Ni jema sana ,Asante kwa taarifa.
Lombo
gud
Povel
Ni habar njema
Frank patrick
Football age inatutesa sana waafrika kwenye kugundua vipaya ingali vidogo na kuwah kuviendeleza
Ernest Kimeru
Karibu Ethiad Michut.