Man United: Kocha Mpya Kuamua Hatma ya CR7

Joto linaongezeka ndani ya klabu ya Man United. Maisha chini ya Ralf Rangnick, ni changamoto mpya kwa wachezaji. CEO mpya, anakazi yakufanya.

United wamemtangaza Richard Arnold kama CEO mpya wa klabu hiyo akichukua nafasi ya Ed Woodward kuanzia Februari 1,2022. Kuanza maisha mapya chini ya uongozi wa Arnold, ni uelekeo mpya kwa Man United.

Inasemekana, kwa hali ilivyo mpaka sasa, kikosi cha The Red Devils kimeshagawanyika. Wachezaji hawana umoja kama timu, hali hii inatajwa kuwa ni miongoni mwa sababu zinazoifanya timu hiyo kucheza chini ya kiwango licha ya Ole Gunnar Solskjaer kuondolewa kwenye timu hiyo.

Wapo wanaoenda mbali zaidi wakidai kuwa, mbinu anazotumia Ralf Rangnick, haziwapendezi wachezaji wa United na baadhi yao, hawamuamini kocha huyu na wasaidizi wake. Cristiano Ronaldo anatajwa kama miongoni mwa sababu za kikosi kugawanyika.

Man United

Baadhi ya wachezaji (hasa vijana) morali yao imeshuka maradufu, toka aliporejea CR7. Rashford, Fernandes, Sancho, Greenwood, Lingard ni miongoni mwa wachezaji ambao uwezo wao uliozoeleka, sio huu unaoonekana msimu huu.

Man United watachagua kocha mpya wa muda mrefu baada ya msimu huu. Wakati hili likiwa ni jukumu kubwa na zito kwa uongozi wa Arnold. CR7 atamaliza mkataba wake mwishoni mwa msimu ujao. Japokuwa, ripoti zinasema, nyota huyu ataamua hatma yake ndani ya United baada ya kuona kocha mpya ni nani? Kama ni kocha ambaye CR7 haendani nae, huenda huu ukawa ni msimu wake wa 1 na mwisho kwa Ronaldo kuitumikia United.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.