Manara Atoa Ahadi Kuelekea Kariakoo Derby

Afisa habari wa Simba SC, Haji Manara amewaahidi Antonio Nugaz na Hassan Bumbuli Tsh1 million kila mmoja ikiwa Mabingwa hao watashindwa kuifunga kwenye mechi ya Jumapili.

Timu hizo mbili zitakutana kwenye Kombe la FA nusu fainali kwenye Uwanja wa Taifa, ambapo mshindi atacheza dhidi ya Namungo FC kwenye fainali. Msemaji huyo wa Simba ametanabaisha kuwa wamejipanga kuitoa Yanga kwenye michuano hiyo.

“Tunaingia uwanjani tukiwa na lengo la kushinda mataji mawili msimu huu,” Manara aliwaambia wanahabari Jumamosi.

“Tuna kikosi kipana kuliko wapinzani wetu, na hii ndio sababu tunabadilisha kikosi kila wakati. Kushinda michuano lazima uwe na kikosi kipana na hiyo ndio faida yetu kubwa.

“Kama tutapoteza dhidi ya Yanga, Nitampa [ Antonio Nugaz na Hassan Bumbuli] TSh1 million kila mmoja.”

Ni kwa mara ya tatu miamba hiyo ya Ligi Kuu Tanzania Bara kukutana msimu huu, wakati mzunguko wa kwanza ulimalizka kwa sare ya 2-2 na mzunguko wa pili Yanga alipata ushindi wa 1-0 kutoka kwa Bernard Morrison.

52 Komentara

    Manara pole yako leo yanga wanashinda

    Jibu

    Simba hawana mpinzani#meridianbett

    Jibu

    Simba msituangushe 2 leo

    Jibu

    Manara ndio kawaida yake anaweka ahadi lakini hatekelezi Mara ngapi ameshasema kama timu ya yanga ikimfunga simba anafanya kitu na hafanyi aende zake tusubiri mchezo uwaze sio anaongea tu anatoa ahadi zisiso kuwa na mshiko mpaka akija kupigwa ndio ataelewa anacho kiongea .kila laheri yanga na safari hii ukishinda yanga inataka manara tumuweke kikaongoni.

    Jibu

    Maoni: manara anajiamini sana kwanini

    Jibu

    Mi na washangaa sana hawa simba wao ni mabingwa tayari washajitangaza lakini sijui hawana imani na wachezaji wao

    Jibu

    Ili ni tatizo kubwa kwa timu zetu za kitanzani bila ya ahadi awawezi kujituma ila poa mm nawatakia simba ushindi mnono

    Jibu

    Simba wako vizuri ndiyo maana manara anajiamini

    Jibu

    Mpira dk 90 maneno maneno ya nini

    Jibu

    Anacho kiongea manala kipo sahii ajakosea mzee baba atunaga maneno siye

    Jibu

    Leo ndio leo asije akakimbia bure si tunasubiria dakika 90

    Jibu

    Simba msije mkatuangusha mashabiki yani leo macho yote kwenu simba oyeeeee#meridianbettz

    Jibu

    Mpira ni dakika 90 na mpira ni uwanjani sio maneno wachaa tuone

    Jibu

    Uyu manara tatito ana ongea sana ngoja kimtoke kijibu Leo akeshe kujikuna

    Jibu

    Asante kwa makala nzuri
    @meridianbettz

    Jibu

    Tumemzoea huyo hana jipya ,siku zote nikuongea tu tungoje mtanange tu ndo msema kweli

    Jibu

    Leo na tena simba wakifungwa sijui manara ataongea nini

    Jibu

    Kariakoo Derby ndio habari ya mjini #meridianbettz

    Jibu

    Simba lazm ishinde

    Jibu

    THIS IS SIMBA

    Jibu

    Ushindi niwa simba

    Jibu

    Simba itashida

    Jibu

    🕗

    Jibu

    Ushindi ni wasimba #Meridianbettz

    Jibu

    Manara anajiamni sana asubili dk 90 aone kama milioni yake haijaliwa

    Jibu

    Ngoja tuone dakika 90

    Jibu

    Hayo maneno tuu

    Jibu

    Mashabiki tunasubiri tujionee wenyewe

    Jibu

    Mpira uwanjani sio maneno

    Jibu

    Uzuri wa Dabi bhana kuna tambo nyingi sana kila mtu anajitamba kivyake lakini mwisho wa siku dakika 90 zitaamua, Yanga kama atampiga Simba leo basi atakuwa amejiwekea heshima kubwa sana na kukata ngebe za simba, Binafsi nampa Simba alama kubwa zaidi kuibuka na ushindi kama alivyosema Manara sababu ya kuwa na kikosi kipana.

    Jibu

    Yanga anafungwa bila ubishi

    Jibu

    Kila la kheri simba sport club

    Jibu

    Manara anaongea sana, dk 90 tutajua mshindi

    Jibu

    Simba noma sana.

    Jibu

    Manara ndivyo alivyo

    Jibu

    Hapa kikubwa tusubirie dakika 90 tu kiroho safi tujue nanii mshindi

    Jibu

    Inawapa Sana molari wachezaji.

    Jibu

    Simba IPO juuuuu mawinguniiiiii

    Jibu

    Am so sad for my yanga!!! Nisiwe mchoyo wa fadhila hongeren wanamsimbaz Leo hakika mmetuweza wapinzani wenu

    Jibu

    Manara yuko sahihi tuna kila sababu ya kushinda mechi iyo

    Jibu

    Hongera simba kwa ushind wa nguvuu

    Jibu

    Habari nzuri Asante meridianbet

    Jibu

    Kweli Alikuwa na uhakika huyu jamaa

    Jibu

    Hongera yao

    Jibu

    huyu sope mmoja sawa na yanga nzima haha haha

    Jibu

    Manara anajiamin

    Jibu

    Manara anautani wa ngumi

    Jibu

    Nilijua tu Simba Watashinda kwa kishindo#Meridianbettz

    Jibu

    Good news 👍

    Jibu

    N msemaji mkuu haji manara mtu asie ishiwa na vituko

    Jibu

    Mmmmmh!!

    Jibu

    Hongera zao simba

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.