Marcos Alonso: Kutopiga Magoti Tena Kupinga Ubaguzi

Mlinzi wa timu ya Chelsea Marcos Alonso anaacha kupiga goti katika michezo yote inayokuja kwa ajiri ya kupinga ubaguzi wa rangi na badala yake kusimama kuonyesha kidole kweye nembo ya kupinga ubaguzi.

Crystal Palace winga Wilfred Zaha alikuwa mchezaji wa kwanza kuacha kupiga goti katika ligi kuu ya Uingereza na sasa Marcos Alonso anaungana nae.

marcos alonso
Marcos alonso

Marcos Alonso linukuliwa akisema “napinga vikali ubaguzi wa rangi na napinga ubaguzi wa aina yeyote”

“Napendelea kufanya kwa njia hii, na nasema kwa uwazi napinga ubaguzi na namuheshimu kila mtu.” aliongezea

Utaratibu wa kupiga goti kabla ya mpira kuanza ilianza lipindi kile cha kampeni ya ‘black lives matter’ baada ya kusima kwa ligi kuu ya Uingereza kwa siku 100 kutokana na mripuko wa uviko-19 mwaka 2020.


FUNGA BAHATI YAKO NA MERIDIANBET.

Ni wakati wa ushindi mkubwa ukiwa na kasino bomba ya Lock a Luck, meridianbet wanakupa sababu ya ushindi, funga bahati yako ya ushindi ukiwa na mabingwa.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.