Baada ya kufanyiwa upasuaji wikiiliyopita gwiji wa soka wa Brazil Pele alisafirishwa mpaka hospital ya Albert Einstein huko Sao Paulo kwaajili ya uangalizi.

Lakini sasa mkongwe huyo amewahakikishia mashabiki wake kwamba na watu wao mfuatilia kwenye mitandano yake kwamba anaendelea vyema kabisa.
“Kama unavyoweza kuona, nina sherehekea kila siku bora,” aliandika kwenye Instagram.
“Hali nzuri ni dawa bora na nina mengi ya hayo. Haiwezi kuwa tofauti. Nimepokea mapenzi sana hivi kwamba moyo wangu umejaa shukrani.
“Asante kwa wafanyakazi wote wenye upendo wa ajabu katika Hospitali ya Albert Einstein.
Ni wakati wa ushindi mkubwa ukiwa na kasino bomba ya Lock a Luck, meridianbet wanakupa sababu ya ushindi, funga bahati yako ya ushindi ukiwa na mabingwa.


