Steve Cooper Kuwa Kocha Mpya wa Nottingham Forest

Steve Cooper ametangazwa kuwa mkufunzi mpya wa Nottingham Forest akichukua mikoba iliyoachwa na Chris Hughton.

Haughton alitupiwa virago wiki iliyoisha kutokana na mwanzo mbaya ambapo amepoteza mechi sita kati ya saba alizocheza msimu huu kwenye Championship.

Steve cooper
Steve cooper

Awali ilihusishwa kuwa John terry mlinzi wa zamani wa Chelsea kuwa ndio chaguo la kwanza baada ya kuachana na Aston Villa, lakini bodi imeamchagua Cooper kama chaguo la kwaza na wamekubali kuilipa Swansea na kumkaribisha kwenye dimba la City Ground.

Steve cooper mwenye umri wa miaka 41 ameliacha dimba la Liberty Stadium baada ya kuitumikia kwa misimu miwili.

Mkurugenzi wa Forest Dane murphy alinukiliwa Steve  alikuwa chaguo la kwanza kama mkufunzi mkuu, ‘tunafurahi kuweza kufanikishahilo, ‘uwezo wake wa kukuza vijana ni mzuri.”

Kwa niaba ya mmiliki na bodi , tunakukaribisha na tunataraji kukupa msaada wowote utakao hitaji ili kwa mafimikio ya Nottingham Forest.” alimalizia Dane murphy


 

FUNGA BAHATI YAKO NA MERIDIANBET.

Ni wakati wa ushindi mkubwa ukiwa na kasino bomba ya Lock a Luck, meridianbet wanakupa sababu ya ushindi, funga bahati yako ya ushindi ukiwa na mabingwa.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.