Naam Anthony Martial alifurahia mazoezi yake kwa mara ya pili akiwa na Sevilla Jumatatu asubuhi kwa mujibu wa Marca.
Mfaransa huyo, ambaye amewasili Andalusia kwa mkopo hadi mwisho wa msimu akitokea Manchester United, yuko anatajwa kuwa yupo tayari kwa mwanzo wake mwema na Sevilla.
Lucas Ocampos, Papu Gomez, Marcos Acuna, Gonzalo Montiel, Tecatito Corona, Youssef En-Nesyri, Bono na Munir wote hawakuhudhuria mazoezi kwa kuwa wako kuwakilisha Argentina na Morocco katika mechi za kufuzu kwa Kombe la Dunia la CONMEBOL na Kombe la Mataifa ya Afrika.

Ingawa Morocco wametolewa nje ya kinyang’anyiro hicho na Misri, nyota watatu wa mwisho watarejea Uhispania wiki hii. Argentina itamenyana na Colombia mapema Jumatano.
Jesus Navas, Thomas Delaney, Erik Lamela na Suso wote walikosa mazoezi kutokana na majeraha ya muda mrefu, huku Diego Carlos na Jules Kounde nao wakiwa hawapo kutokana na malalamiko madogo. Fernando alifanya kazi kwa sehemu na kikundi na anakaribia kurudi.
Bila shaka, Martial amepania kuonesha kuwa bado ana kitu cha kuionesha dunia ya soka juu ya uwezo wake wa kusakata kabumbu, na huu ni muda wa kufanya vyema kusisitiza umhuhimu wa nafasi yake Sevilla.
Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.


