Uhamisho wa Giovani Lo Celso Utatoboa?

Huenda kukawa na kigugumizi katika mchakato wa uhamisho wa Giovani Lo Celso

Ufuatiliaji wa Villarreal wa Giovani Lo Celso unaonekana kuwa kwenye hati hati utashuka kwa mujibu wa Marca. Wamekubaliana masharti kibinafsi na Muargentina huyo na wamefunga mazungumzo na Tottenham Hotspur, lakini uhaba wa nafasi kwenye kikosi chao cha kwanza unaleta changamoto.

Giovani Lo Celso kwa sasa yuko nchini Argentina na timu yake ya taifa kujiandaa na mpambano wao dhidi ya Colombia wiki hii, wakati dirisha la usajili la Januari linafungwa leo hii. Lyon na Milan wote wameomba kumchukua kwa mkopo lakini ana nia ya kujiunga na Manowari ya Njano.

Uhamisho wa Giovani Lo Celso Utatoboa?

Villarreal, hata hivyo, italazimika kusonga mbele kwenye kufanikisha hatua hiyo kwani tayari wana wachezaji 25 wa kikosi cha kwanza waliosajiliwa. Lo Celso, 25, atahitaji kufanya mapinduzi ikiwa wangemleta.

Kiungo mbunifu, anaijua La Liga vyema kwa sababu hapo awali aliwahi kuwepo na Real Betis. Alichipukia kupitia mfumo wa vijana huko Rosario Central na amecheza mechi 37 na Argentina.


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.