Kikosi cha Simba SC leo kitashuka katika uwanja wa Manispaa ya Berkane kuikabili RS Berkane katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya makundi ambao utaanza saa nne usiku.

 

simba sc, Match Day : Simba SC vs RS Berkane., Meridianbet

Hii utakua ni mechi ya tatu kwa Simba SC katika michuano hii ambapo wamefanikiwa kukusanya alama nne katika mechi mbili na kuwa vinara wa Kundi D.

Kocha Mkuu wa Simba SC, Pablo Franco amesema wanafahamu mchezo utakuwa mgumu na wapinzani watahitaji kutumia nguvu kupata alama tatu lakini timu iko tayari kuwakabili.

“Mara zote katika hatua hii mechi za ugenini zinakuwa ngumu. Kila timu inajitahidi kutumia vizuri uwanja wa nyumbani lakini sisi tuko tayari kupambana na hatuhofii chochote,” amesema Pablo.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa