Hali ya hewa ya Barcelona juu ya suala la mkataba mpya wa Lionel Messi imeendelea kutawaliwa na sintofahamu.
Baadhi ya vyanzo vinaripoti kuwa Lionel Messi atalazimika kusubiri hadi mwezi Januari ili kuweza kusajiliwa na Barcelona.
Changamoto kubwa inayotawala mkataba mpya wa Messi Barcelona ni klabu hiyo kubanwa na masharti ya mishahara ya La Liga. Na kwa sababu hiyo, mashabiki wa Barcelona wanaweza kulazimika kuendelea kuwa na uvumilivu.
Kwa hali amabuo suala hili limefikia, ni wazi kubwa Lionel sasa ana machaguo mawili tu ambayo anaweza kuyafanya, na kwa kutuliza akili yake.

Ni wazi kuwa itakuwa hasara, na vigumu sana staa huyu kusubiri hadi mwezi Januari, hivyo, kabla ya mwezi Agosti kuisha staa huyu anapaswa kuwa na uhakika wapi atatumikia msimu ujao.
Machaguo aliyonayo mezani kwa sasa ni, kuhamia klabu nyingine mapema kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili la Ligi anayotaka kushiriki. Au kukubali kusaini mkataba na Barcelona ambao utampunguzia mshahara ili kuendana na matakwa ya La Liga kwenye bili ya mshahara.
Kasino ya Mayan Eagle inakukufanya kuwa bingwa wakati wowote unapoamua kuicheza. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!



Ernest
It’s a Red Light for Messi!!!!!!!