Straika wa Kagera Sugar, Yusuph Mhilu ameahidi kufunga magoli 20+ kumpiku straika wa Simba SC Meddie Kagere kwenye Kiatu cha dhabu msimu huu.
Wakiwa wamebakiza mechi tano Ligi Kuu ikirejea Juni 13, Mhiku ambae mpaka sasa mefunga magoli 11 anatakiwa awe bora ili kumpiku Kagere mwenye magoli 19.

“Nimejiwekea kiwango cha zaidi ya magoli 20 msimu huu na ninaamini naweza kufikia malengo yangu, naweza kushinda hadi magoli manne kwenye mechi mmoja,” alisema Mhilu.


Frank Patrick
Lolote laweza tokea ni juhudi tu na upambanaji uwanjani
Ester jackson
Unaweka mhilu pambana ukijiamini unaweza
Genia Sikaluzwe
Labda kagere awe majeruhi jaman,
Ester mmakasa
Ni yeye tu kuongeza juhudi katka kazi akiamuwa inawezekana sana.
aisha
Mpira hautabiliki anaweza akafungwa yeye
Neema juma
Hayo magoli manne anayoyasemea kwenye mechi moja naamini ataweza mtu mbaya Mhilu.
Antony Luseno
Ana matumaini mazuri lakini changamoto uja na timu anayochezea
Salma
Safi sana mhilu kaza buti
winfrida
kila kitu ni bidii na kujituma
Samiah
Lolote lawezekana
felister
Hana lolota kumpiku kagere iyo ni ndoto
Rehema
Jamani labda anaota lakn uwezi juu ajitaid kubambana
Sadick
Ambiguous player. Mwisho wa ligi tutaona atakayechukua kiatu cha mfungaji kinara #meridianbettz
Theckla
Zidisha juhudi utaweza tu
Hope mwaikuka
Go mhilu
Sadick
Ni mchezaji mwenye malengo. Mwisho wa ligi tutaona atakayechukua kiatu cha mfungaji kinara #meridianbettz
Tahiya
Ni vizur kuwa na mawazo chanya kama mchezaji ili kufikia malengo yko Kagere yuko juu tunajua ilo kwahiyo Mhilu kaza buti kupata kiatu cha ufungaji bora
Evaluziga
Anamatumaini mazuri lakini changamoto huja na Tim anayochezea
Emmy cleopa
Safi sana mhilu kaza buti tu
Ernest
Kagere ni moto sana sema ni vizuri akapata changamoto
Isaya massawe
Awezi kumpita kagere
Elika
Afanye kazi haswaaaa mpaka kumpiku huyo kagere
Latifa juma mohamed
Kagere hattar
mathayo sonje
labda amuombee kagere asifunge, maana hii mashine kiukweli hainaga kulemba golini,
Agness
Kagere Yuko vizuri Sana ajitahidi apate magoli zaidi ya hayo
Hamidu
Dogo mhilu anauwezo …njoja tusubil na kuona#meridianbet
Furahav
Hilo linawezekana tu chamsingi anatakiwa apanbane.
Rehema Dickson
Kagele moto mwingine uyo afananishwi na mtu
Khadija
Mpira dakika 90 itakavokuwa kuwa na iwe#meridianbettz
Neema hassan
Ongeza juhudi mhilu hakuna linaloshindkana.
mwakalosi
huyu anataka publicity tu kagere mtu mwingine atafute wa kujifanajisha nae
Adelta
Anatakiwa kufanya juhudi ktk kazi yake
Mwanaidi
Hata iweje kagere ni mchezaji wa viwango na anajituma uwanjani
Asha
Kagere fundii
Zeiyana
Hayo maneno tu mashabik tunataka vitendo mhilu
dorophina
Cha msingi Ni kuongeza bidii hakuna kinachoshindikana akiamua
Swai
Akifanya juhudi atakipata tu
Mwanahamisi
Safi sana mhilu kaza buti
Mwajuma
Sizani kama atampiku kagere maana wametofautiana magoli mengi
Lydia Emmanuel Magoti
Kagere nizuri Sana anajua lakini kwenye mpila Kuna ushindani akikaza ataweza jamaha
Genia Sikaluzwe
Kila kitu ni juhudi na bidiii
Caroline
Kagere ni habar nyingine.
Povel
Kagere habar nyngne bongo na afrika mashariki
Kenani
Mcheza akiwa Hana mbadala huwa anajisahau na kujiona yeye ndo yy but akipata mpinzani lazma ajitume kulinda nafac yak
Lombo
kaza buti mzee penye nia pana njia
Genia Sikaluzwe
Labda kagere awe majeruhi jaman,
Shafii
Gud newz
Aziza mushi
Safi Sana muhimu kuongeza juhudi tu
David pere
Yani hiyo Kama kuteleza kwenye mlenda
Warda
Aendege huko kwa hiyo Kagere atakuwa amekaa tu anamtizama 😏#Meridianbettz
Mariam mtandama
Safi
Gabriel
Mhilu anachukua
Magdalena
Hakuna wa kumpiku kagere maana ni mchezaji wa kipekee kwetu sisi mashabiki wa simba
Issa
Ni vyema