Kocha mkuu wa Tottenham mreno, Jose Mourinho amemzungumzia Maradona vile walivyokuwa na ukaribu baada ya kifo chake kilichozua simanzi kubwa kwa tasnia ya michezo duniani.

 

mourinho, Mourinho -‘Ulimwengu wa Soka Umepoteza Mtu Muhimu.’, Meridianbet

Mimi siwezi kumzungumzia vizuri Di Stefano kwasababu sio umri wangu, Ila naweza kumzungumzia vizuri Maradona kwasababu nimemuona akiwa anacheza mpira nafahamu uwezo wake.

Kuna wakati nikiwa napoteza mechi kama mwalimu alikuwa ananipigia simu kunitia moyo nisikate tamaa, kwa kweli ulimwengu umempoteza mtu muhimu katika Soka Jina lake litaishi milele.” alisema Mourinho

Maradona anatarajiwa kuzikwa siku ya Alhamisi na itakuwa chini ya uangalizi mkubwa huku hakuna mtu atakaye ruhusiwa kuhudhuria zaidi ya ndugu na marafiki wa karibu kutokana na kuendelea kuzuka kwa visa vya ugonjwa wa Corona.


USICHELEWE KUKAMATA MKWANJA HUU!

Hadi 130,000,000 TSH Kutolewa kwa washiriki wa shindano la Playson Cashfall. Unaipata kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet Pekee. Jisajili sasa, kisha ingia mchezoni kabla ya Novemba 29.

Meridianbet Tanzania Casino

SOMA ZAIDI

15 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa