Mtanange mwingine ni huu wa Namungo FC dhidi ya Coastal Union ya kule Tanga, mchezo ambao utapigwa karika dimba la Majaliwa majira ya saa 1:00 usiku.

Coastal Union hadi sasa wapo nafasi ya 13 kwenye msimamo wa ligi huku wakikusanay pointi 9, huku kwa upande wa Namungo wao wapo nafasi ya 8 na pointi zao 12 kwenye ligi.
Takwimu zinaonesha kuwa mechi ya mwisho walipokutana walitoa suluhu lakini leo afe kipa afe beki pointi 3 lazima ziondoke na mtu au zibaki nyumbani.
Wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji akiwa na ODDS 2.01 kwa 4.10. Je wewe unampa nani beti yako akupe maokoto?
Mechi hii ni muhimu sana kwa Namungo kwani anataka kuendeleza ubabe baada ya kushinda mechi zake zilizopita, huku Coastal nao wakihitaji ushindi kwenye mechi hii baada ya vipigo viwili mfululizo kwenye ligi.


