Ligi ya mabingwa barani Afrika (CAF) hatua ya makundi inatarajiwa kuendelea leo ambapo Al Ahly atamkaribisha Yanga katika dimba la Borg El Arab majira ya saa 1:00 usiku.

Yanga na Ahly wapo kwenye Kundi B kwenye ligi ya mabingwa ambapo wote mpaka sasa wana pointi 4 kwenye msimamo wa kundi hilo kinachotofautisha ni magoli ya kufungwa na kufunga.
Ahly ndio timu ambayo imefanikiwa zaidi katika historia ya mashindano haya Barani Afrika wakiwa na mataji 11 hadi sasa huku vijana wa Pedro wakiwa hawana taji hili hadi sasa.
Ahly ndio wamepewa nafasi kubwa ya kushinda mechi hii pale Meridianbet wakiwa na ODDS 1.33 kwa 9.00 ya Yanga lakini mara ya mwihso kukutana Young Africans walipoteza.
Je leo hii vijana wa Pedro wanaweza kulipa kisasi ugenini na kusogea juu kwenye msimamo wa Kundi B au wenyeji wataendeleza ubabe na kushinda siku ya leo?


