TRA United Kukipiga Dhidi ya KMC

Ligi kuu ya NBC Tanzania, inatarajiwa kuendelea siku ya leo kwa michezo miwili ambapo mchezo wa kwanza ni huu wa TRA United vs KMC ambao msimu huu umekuwa mbovu kwao.

TRA United Kukipiga Dhidi ya KMC

Timu hiyo ambayo ipo chini ya kocha mkuu Mohamed Bares mpaka sasa kwenye mechi 9 ambazo wamecheza wanashika nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi huku wakiwa na pointi 4 pekee.

Wenyeji wao wapo nafasi ya 11 kwenye msimamo wa ligi wakikusanya pointi 9 hadi sasa huku mchezo huu wakiytazama kama mchezo ambao wanahitaji ushindi ili kusogea kwenye nafsi ya juu.

Meridianbet inakwambia kuwa endelea kubashiri hapa kwani ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Ingia kwenye akaunti yako na uanze safari yako ya ushindi sasa.

Mara ya mwisho TRA United kukutana na KMC mwenyeji alipoteza mechi hiyo huku leo hii Mabingwa wa ubashiri Tanzania Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 1.85 kwa 4.00.

TRA United Kukipiga Dhidi ya KMC

Pointi 3 ni muhimu sana kwa timu TRA UNited pamoja na KMC kwani ndizo zinatathamini kiwango cha timu hivyo basi huu ni mtanange wa kukata na shoka ambao unakupatia wewe nafasi ya kuwa Milionea endapo utasuka jamvi lako na Meridianbet siku ya leo.

Usingoje kupitwa na pesa hii ingia kwenye akaunti yako ya Meridianbet na utengeneza jamvi la ushindi leo.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.