Kiungo wa Leicester City, Wilfred Ndidi, 23, atasalia nje kwa wiki 12 baada ya kufanyiwa upasuaji kutokana na jeraha la kifundo cha mguu alilolipata kwenye mchuano wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) mnamo Septemba 20, 2020.
Nyota huyo mzawa wa Nigeria amekuwa akiwajibishwa na Leicester kama beki katika siku za hivi karibuni baada Jonny Evans kuugua.

“Ni jeraha baya. Yasikitisha kwamba tutamkosa Ndidi kwa miezi mitatu hivi baada ya kufanyiwa upasuaji. Kutokuwepo kwake kutatutikisa pakubwa,” akasema kocha Brendan Rodgers.
“Naamini atapona haraka jinsi tunavyotarajia na atarejea uwanjani kwa kiwango cha juu na kuendeleza matokeo bora ambayo amekuwa akijivunia,” akaongeza kocha huyo wa zamani wa Liverpool.
Ushindi wa 3-0 na 4-2 walioupata Leicester dhidi ya West Bromwich Albion na Burnley mtawalia katika mechi mbili za ufungunzi wa msimu huu umewaweka kileleni mwa jedwali la EPL.

Kikosi hicho kinatarajia sasa kinajiandaa na mchezo wake dhidi ya Manchester City mnamo Septemba 27, 2020, baada ya kufungwa na Arsenal kwenye Carabao Cup msimu huu kwa kichapo cha 2-0 mnamo Septemba 23 uwanjani King Power.
FURAHIA KASINO YA MTANDAONI
Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.


Antony Luseno
Injury siku zote uwa zinachangia kiwango cha mchezaji kushuka,get well soon Ndidi
Lydia Emmanuel Magoti
Duu pole yake jembe utapona
Adelta
😀😀😀sio poa
Tatu
Pole sana ndindi naamini utapona haraka na kurejea kwenye kiwango chake kama mwazo
Sadick
Ndidi amekuwa muhimili nafasi ya kiungo Leicester , ni pigo kwa Kocha Brendan Rodgers ktk kampeni yake kufanya vzr ligi ya EPL#meridianbettz
aisha
Pole sana ndidi kwa kupata ajali lakini utakaa sawa muda simrefu
Shafii
Ni pengo kubwa sana kwa leicester katika eneo la kiungo.
farida ahmadi
Pole Sana
Saupha mohamed
Pole sana
Mwajumah
Duuh pole yake
Khadija
Pole sana
Zeiyana
Habari mbaya kwa mashabiki wa Leicester
Fatina
Pole mungu hakufanyie wepes upone harak
Marry Mushi
pole ake
Agness
Duuh pole zake Ila kaacha pengo kubwa sana
Venerose
Pole sana
Shani
Ni balaa kwa leister
Caroline
I wish him quick recovery
Hopemwaikuka
Get well soon champ
Elika
Dah pole sana
Hidaya
Du pengo kubwa kwa Leicester city
Amiri Kayera
Oooh get well soon player
Nasra
Atapona tu
Gabriel
Habar ya kusikitisha sana
lombo
vzr
Rehema
Pole yake
Ernest
Leicester city kazi wanayo
Flomena
Pole Sana kwake
Fatuma kasomo
Pole sana
Samiah
Pole sanaaa
Neema
Atakuwa sawa asijal
Latifa juma mohamed
Get well soon,daah ila ameacha pengo kubwa.
David Pere
Get well soon,daah ila ameacha pengo kubwa. Ila atakuwa vizuri
felister
I feel sorry for him
Rose kapinga
Pole,ajali kazini!!
Theonestina
Pole yake
Sabrina
Pole sana Ndidi
magdalena
pole sana ndidi utakaa sawa hivi karibuni
Dorophina
Get well soon ndidi
Povel
Duh majanga lecestery city