Mashindano ya Olimpiki Tokyo 2020 yanayofanyika kule Japan yameanza rasmi kwa upande wa wanawake ambapo matokeo mbalimbali ya kushangaza yameshuhudiwa.
Mchezo ulioteka hisia za watu wengi duniani ni ule wa soka kati ya timu ya taifa ya Marekani dhidi ya Sweden ambapo, mabingwa wa kombe la dunia 2019 walishuhudia kipigo kinene cha 3-0 kutoka kwa Sweden.
Katika hali ya kushangaza wamarekani walishuhudia kipigo hicho kilichowashangaza watu wengi duniani wakiwemo nyota wakubwa wa soka.
Katika mechi nyingine ya Tokyo 2020 timu ya Zambia ilishuhudia ikitandikwa bao 10-3 dhidi ya Uholanzi ambao walionekana kutaka magoli mengi zaidi. Katika orodha ya wafungaji kuna mholanzi aliyetupia magoli 4, na mzambia aliyetupia bao tatu!
Kasino ya Mayan Eagle inakukufanya kuwa bingwa wakati wowote unapoamua kuicheza. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!


