Paris: Sababu ya Man Utd kukatiliwa na Pochettino Yavuja

Paris Ufaransa, taarifa za kukataliwa na klabu ya Man Utd na kocha wa timu ya PSG zimevuja, ni kuwa klabu ya PSG imeshindwa kumshawishi Zinedine Zidane kuweza kuchukua mikoba ya Pochettino.

Pochettino awali alikuwa anavutiwa kuhamia kwenye klabu ya Manchester United katika ya msimu endapo klabu ya PSG ingemruhusu kuondoka, lakini haionekani kama inaweza kutokea kwa sasa.

Paris
Paris, Ufaransa

PSG imekataa kumwachia na kuondoa uwezekano kwa klabu ya Man Utd kumpata kwa sasa kocha huyo raia wa Argentina na kumuhitaji aendelee na majukumu yake mpaka mwisho wa msimu.

Kwa sasa klabu ya Manchester United wanaangaika kuweza kumpata kocha wa muda  baada ya kumfungashia virago aliyekuwa kocha watimu hiyo Ole Gunnar.


PANDISHA THAMANI YA DAU LAKO NA FAI CAI SHEN

Wiki nyingine ya kushinda mamilioni ukiwa na kasino maridhawa za meridianbettz. Mchezo pendwa wa Fai Cai Shen unakupa thamani ya dau lako, kwa kiasi kidogo cha dau unaweza kushinda mkwanja mrefu.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.