Partey Kuikosa Man United Kesho

Kiungo wa klabu ya Arsenal raia wa kimataifa wa Ghana Thomas Partey anatarajia kukosa mchezo wa kesho dhidi ya Manchester United baada ya kupata majeraha.

Kiungo Thomas Partey anaukosa mchezo wa kesho kutokana na majeraha ambayo hayajabainishwa mpaka sasamna klabu ya Arsenal, Huku ikielezwa inawezekana akakaa nje ya uwanja kwa muda zaidi.ParteyKlabu ya Arsenal imepata pigo kutokana na kumosa kiungo huyo katika mchezo wa kesho dhidi ya Man United, Kwani mchezo wa kesho utakua mchezo mgumu zaidi na kiungo huyo amekua moja ya wachezaji muhimu ndani ya Arsenal.

Kiungo huyo raia wa kimataifa wa Ghana amekua akiandamwa na majeraha mara kwa mara tangu atue ndani ya klabu ya Arsenal hii imemfanya kukosa michezo mingi na klabu hiyo.ParteyKukosekana kwa Partey katika mchezo wa kesho dhidi ya Manchester United kesho itakua moja ya changamoto kubwa kwa Arsenal, Lakini kocha Mikel Arteta anahitajika kuja kitofauti na kuhakikisha anatafuta mchezaji mwingine wa kuvaa viatu vya kiungo huyo kesho.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.