Pickford Aponea Chupuchupu Adhabu ya FA.


Chama cha soka nchini Uingereza ( FA ) kimesema kwamba Golikipa wa Everton Jordan Pickford hatopata adhabu kutokana na rafu aliyocheza dhidi ya Beki wa Liverpool Virgil Van Dijk.

Katika Mchezo wa debi ya Mersyside Pickford huyo alimchezea vibaya Beki Van Dijk na kusababisha mchezaji huyo kutolewa nje ya mchezo dakika ya 11.

 

Pickford Aponea Chupuchupu Adhabu ya FA.

VAR waliangalia tena lile tukio na waliona haistahili kuwa penati kwasababu Van Dijk alikuwa ameotea , na pia VAR walihitimisha kwamba rafu ya Pickford haistahili kadi nyekundu.

FA huwa wanatoa adhabu kwenye matukio ambayo mwamuzi wa uwanjani hakuona au VAR iliyopo makao makuu Stockley Park.

 

Pickford Aponea Chupuchupu Adhabu ya FA.

Van Dijk anatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa goti na taarifa za ndani zinasema mchezaji huyo anaweza kukaa nje ya mchezo kwa takribani miezi 6 mpaka 8 hivyo huenda akaukosa msimu mzima 2020/2021 wa EPL.


Ondoka na Mkwanja Kwenye Tsh. 160,000,000

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu.

Soma Zaidi

28 Komentara

    Bora kama kasamehewa.

    Jibu

    afadhali kaondolewa adhabu maana tulishaanza kuwaza sana

    Jibu

    Vzr

    Jibu

    Adhabu ilikuwa sio ya kitoto

    Jibu

    Alichez rafu mbaya sanaa

    Jibu

    adhabu zengine ziwa zanahangaliwa kwa kweli mchezaji kupa adhabu hambayo akusaiti kupewa ni kama kumuonea tu na kumshushia nizamu yake

    Jibu

    Wamsamehe tu

    Jibu

    Vizuri Bora wamsamee tuuu

    Jibu

    Kipa makin sana

    Jibu

    Bora kama kasamehewa maana alicheza rafu mbaya sana

    Jibu

    Duh pole yake

    Jibu

    Kweli msala

    Jibu

    VAR imeleta usuluhisho kwenye soka

    Jibu

    Pickford alicheza rafu sana kwenye mechi hiyo

    Jibu

    makin sana kipa

    Jibu

    duuh

    Jibu

    Hali Stail adhabu lakin ukiangaliah maamuz yaliyofanywa na VAR wapenda soka hawakutegemaeh kwn ukiangaliah tukio jinsi lilivyotokea na maamuz ya VAR kutobain makosa ni vitu viwil tofaut all in all FA wajamtendea haki VVD pickford anastail Adhabu

    Jibu

    Duuuh acha tupumue mashabiki wake tunashukuru

    Jibu

    Waamuz wanatakiw wawe makin kwa uamuz uwanjan

    Jibu

    Sorry for him

    Jibu

    VAR kutobain makosa ni vitu viwil tofaut all in all FA wajamtendea haki VVD pickford anastail Adhabu

    Jibu

    Duuuh

    Jibu

    Duuh hatari

    Jibu

    Duuuu hii ni mbaya sana

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Afadhali jamani

    Jibu

    Pole Sana

    Jibu

    Rafu aliyocheza si ya kitoto

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.