Gianluigi Buffon ndiye mchezaji wa kwanza aliyewahi kucheza michezo 650 ya Serie A – wachezaji wenzake saba kati ya 10 walioanza katika mchezo dhidi Crotone hawakuzaliwa wakati alipocheza kwa mara ya kwanza katika Serie A (mnamo Novemba 1995).
Kipa huyo mkongwe alianza kwa mara ya kuanza kwa Juventus msimu wa 2020-21 baada ya Wojciech Szczesny kupumzika baada ya jukumu la kimataifa.
Mechi hiyo iliashiria msimu wa 24 wa soka nchini Italia kwa Buffon baada ya kucheza kwake kwa mara ya kwanza mnamo 1995 kwa Parma dhidi ya Milan – Buffon tayari anashikilia rekodi ya kucheza zaidi Serie A baada ya kumzidi nguli wa Milan, Paulo Maldini kwenye mechi 647.
Mchezaji huyo wa miaka 42 pia amecheza kwenye Serie B na Juventus mnamo 2006-07 na Ligue 1 akiwa na PSG mnamo 2018-19 katika misimu yake 24 katika mpira wa miguu wa wakubwa – Katika Serie A, amepata Clean Sheets 296 kutoka kwenye mechi zake 650.
Katika mashindano yote, Buffon amecheza mechi 916 kwa vilabu vitatu tofauti katika taaluma yake na kacheza michezo 176 kwa timu ya taifa ya Italia – mechi nyingi kuliko mchezaji yeyote yule.
Ondoka na Mkwanja Kwenye Tsh. 160,000,000
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu.
Goodupdate
Pongezi zake
buffon yupo makini sana
Pongezi kwake
Yuko sawa
Anastahili kupewa pongezi
Pongezi kwake
Buffon Ni alikuwa kipa bora sana enzi hizo anakumbukumbu nzuri sana
Pongezi kwako
Pongezi san kwake
Pongezi kwake
Mtu makini sana
Vzr
Record za kutish kabisa
buffon historia yake haiwezi kufutika
Hongera zake
Pongezi kwake
saf
Pongez zake
Congrats BUFFON💪💪💪💪
Safi sana
Rekod kubwa. Sana lakin hakuwah kunyakua klabu bingwa
Jamaa katishaa sana
Vizur
Alikuwa kipa mzur ila now ameshazeeka
Jamaa yupo vizuri
Hongera sana
Honger kwake mtu makini sana
Pongezi kwake
Ndo inavyo takiwa kuweka rekodi
Boffon ana rekodi nzuri sana