Prince Dube ni moja ya washambuliaji bora kabisa kuwahi kutokea pale azam ukimtoa Kipre TcheTche na John Rafael Boko aliye kipiga kunako klabu ya simba yenye makazi yake mtaa wa msimbazi.

Azam FC imemuongezea mkataba mpya wa miaka miwili mshambuliaji wa kimataifa wa Zimbabwe, Prince Dube.

prince dube
prince dube

Mkataba huo utamfanya Dube kuendelea kusalia ndani ya viunga vya Azam Complex hadi mwaka 2024.

Dube ambaye amesajiliwa na Azam msimu huu, amekuwa na kiwango bora kabisa hadi sasa akiwa ndiye kinara wa ufungaji bora kwenye Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) akiwa na mabao 14.

Mbali na mabao hayo 14, kiujumla msimu huu, Dube amefunga mabao 17 kwenye mashindano yote, mengine matatu akitupia katika michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC).


MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Gomes, Gomes : Sitafanya Usajili wa Kutisha., Meridianbet

CHEZA HAPA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa