Habari za chini ya kapeti zinamtaja Brendan Rodgers kama kocha atakayepewa kibarua pale Old Trafford.

Rodgers aliwahi kufundisha Liverpool ambayo aliifikisha nafasi ya 2 kwenye msimu wa 2013/14. Muda mfupi baada alijiunga na Celtic kabla ya 2019 kurejea kwenye EPL na kuichukua Leicester City ambayo bado yupo nayo.

Kinachoongeza matumaini kwa uwezekano wa kocha huyu kutua Old Trafford ni uwepo wa kipengele cha kimkataba ambacho, Brendan anaruhusiwa kujiunga na timu yeyote ambayo inacheza Ligi ya Mabingwa (kama timu hiyo itamuhitaji).

Bodi ya wakurugenzi wa United bado hawajatoa tamko rasmi kuhusu hatma ya Ole Gunnar Solskjaer lakini, kuna uwezekano kocha huyo akatimuliwa klabuni hapo muda wowote ndani ya msimu huu.


NJIA RAHISI YA MKWANJA NA TITAN DICE

Unawezaje kuikosa hii! njia rahisi ya kutengeneza mkwanja katika kasino maridhawa za meridianbet. Muda wa kufurahia na kutengeneza mkwanja ipo mikononi mwako unasubiri nini?

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa