Roma wamekaribia kufikia makubaliano na Manchester United kumsajili, Chris Smalling kwa Mkataba wa kudumu, kulingana na Corriere dello Sport.
Mlinzi huyo wa England amekuwa katika wakati mzuri akiwa kwa mkopo huko Serie A na Roma ina nia ya kumuongeza muda wake wa kukaa katika mji mkuu wa Italia zaidi ya msimu huu wa joto.

Klabu hiyo inatarajia kukubali mpango wa kuongeza mkopo wa Smalling hadi msimu wa 2020-21, na Kipengele cha uhamisho wa kudumu kinatarajiwa kuwa karibu €15m mwishoni mwa msimu huo.


Furahav
Beki kisiki.
mathayo sonje
England msimu huu, wanauza sana wachezaji wao nje ya EPL, hii inamaanisha kwamba kabla ya tatizo la korona EPL msimu huu ilikua na upinzani mkubwa,ndio sababu ilizalisha wachezaji wengi wazuri.
Dorophina
Ni beki mzuri sana atatoa mchango mzuri kwenye timu
Mwajuma
Kama wakimsajili itakuwa uwamuzi mzuri
Theonestina
Mchezaji Yuko vizur Sana uyo
Hamidu
Kwa Smalling sawa Bora atafute changamoto nyingine kwa man utd alikuwa Ana nafsi tena.#meridianbettqq
Genia Sikaluzwe
Ni bora abaki uko,kwani man u nafasi itakua finyu kwake,
David Pere
Ni taarifa nzuri kwa mchezaji husika sababu hata angerudi pale man u asingepata namba tena
Magdalena
Habari njema kwa roma
mwakalosi
ni vizur sababu hapati nafasi sana zakucheza pale United
Hidaya
Kizuri kinajiuza
Lydia Emmanuel Magoti
Nivizuri Sana pongez kwake Roma
Gabriel
N bek mzur sana
lombo
habar njema
Shafii
Big deal
Aziza mushi
Ni habari njemaa Sana.
Amani
Bora man u wamuuze ili tupate ela ya kununua Sancho
Evaluziga
Ni beki mzuri sana atatoa mchango mkubwa kwenye tim
Mwanaidi
Ni beki mzuri na anjielewa anajua nini anafanya
Antony Luseno
Roma wamependa mchango wa huyu jamaa sio mbaya watoe hela kwa Man united
Salma
Pongezi kwa roma
Samiah
Beki mzuri na anajielewa anajua nn anafanya
Mariam mtandama
Habari mjema
Hope mwaikuka
Ni mchezaj mzur sana
Ester jackson
Bora aende tu Roma mana kwa man u alikuwa havumi sana labda huku ataonekana
Tahiya
Beki mzur ila hakuwa na bahati pale man u bora aende zke Roma
winfrida
ni makubaliano mazuri na habari nzuri kwa mashabiki wa Roma kwa kutaka kumsajili mlinzi huyo wa England
JULIANA
Ni beki mzuri but namba pale Man ilikuwa changamoto kwake
Neema juma
Ni habari nzuri wajitahidi wasimpoteze
Warda
Jamani wenyew tumemzoea smelling wetu#Meridianbettz
isha
Smalling yuko vizuri wamchukue tuu
Theckla
Bora abadilishe upepo
felisteri
good news
Ester mmakasa
Wakikubaliana wamchukuwe tuu anafaa.
Neema hassan
Habari njema kwa mashabiki..
Adelta
Ni beki mzuri sana anatoa mchango mzuri
Rehema Dickson
Bora atafute nafasi pengine maana kwa man u akua na nafasi tena
Devotha
Hongera sana kwa Roma
Emmy cleopa
Habar njema
Ernest
Smalling ameonyesha kiwango kizuri anastahili
Povel
Gud news
Caroline
Hongera smalling.
Kenani
Yuko poa Sana hyu jamaa wacha ale mkataba
Theonestina
Beki mzur Sana uyo.namkubar
Agness
Yuko vizuri abaki
Zeiyana
Big deal kwa upande wa Roma
Asia Abdy
Habar njema
Fatina mfingi
Have njema