Real Madrid wanaangalia uwezekano wa kumsajili kiungo, Ismael Bennacer kutoka AC Milan. Ismael Bennacer anaweza kurejea Premier League baada ya kuondoka Arsenal kama boya akiwa amecheza mechi moja kwenye kikosi cha wakubwa.

City nao wanamuangalia kwa jicho la tamaa kwani wanamuangalia kama mbadala wa David Silva ambaye ataondok mwishoni mwa msimu huu.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 22, aliyejiunga na Rossoneri kutoka Empoli majira ya joto yaliyopita, inaaminika kuwa na kifungu cha uhamisho wa €50m katika mkataba wake.

Klabu za Manchester City na Paris Saint-Germain pia zimehusishwa kumtaka kiungo huyo wa Kimataifa wa Algeria, na PSG inaaminika tayari wametoa ofa ya €30m kupata huduma zake.


Povel
Gud news
Hamidu
Habari njema kwa mashabiki wa man city
Kama watakuwa wamemsajili
mathayo sonje
Hawa madrid wanamtaka kila mchezaji? sio kwa tamaa hizi, huku wanavutana na man u kwa van de beek, huku tena wanavutana na man city kwa bennacer, wapunguze tamaa bana
Dorophina
Man City wamsajili wasikubali kumkosa
Mwajuma
Habari nzuri
Adelta
Habari nzuri
Theonestina
Asanteni kwa taarifa
David Pere
Hawa Man City Wana tamaa Sana kila mchezaji wanamtaka wao tu
Genia Sikaluzwe
Kwa man City itakua sahihi kwake,pia bora aende akapate changamoto mpya
Magdalena
Mchezaji mahili usajiliwa na timu mahili inapendeza
mwakalosi
inabidi afanye uwamuzi sahihi
Hidaya
Man city mwaga mpunga mezani
Gabriel
Arsenal walipoteza Lulu bila kujua
Shafii
Fundi huyo jamaa
Emmy cleopa
Habar njema
Lydia Emmanuel Magoti
Inabidi afanye huwamuzi sahii
lombo
habar njema
Aziza mushi
Duh Madrid wanamtaka kila mchezaji Yan.
Amani
Kila timu inaitaji kuboresha kikosi chake ila nivyema Waka fanya usajili wenye tija sio Bora usajili nawasilisha kwako mwalimu kashasha#meridianbettz
Antony Luseno
Mchezaji akishahitajika na timu nyingi uwa mwisho wa siku wakala wanaharibu deal zao
Mwanaidi
Ni mchezaji mahiri sana ndio mana wanamtaka
Evaluziga
Du! Madrid wanamtaka kila mchezaji
Hope mwaikuka
Ni sehemu salama kuwepo
Tahiya
Ni mwendo wa usajir na kutunishiana misuli kwa kablu zenye mpunga msimu huu wa usajir apo
Salma
Walifanya kosa kubwa arsenal
Neema juma
Najua wanamjua alivyo mchezaji mzuri wajitahidi wasimpoteze
winfrida
ukiona ivyo ni kiungo mzuri na ndomana kila mtu anamtolea macho
Theckla
Ataisaidia pakubwa city
isha
Ismael usiondoke
Warda
City nao kila mchezaji wanamtaka #Meridianbettz
felisteri
Bora aende zake man city
Ester jackson
Habari kedekede za michezo na meridian
Neema hassan
Mchezaji mzuri anajituma..
Ester mmakasa
Ni habari ya kufurahisha sana kwetu mashabiki.
Rehema Dickson
Waache tamaa yakutaka kusajiri kila mchezaji wanae muona mzuri wafanye jitihada kuboresha kikosi
Devotha
Habari nzuri
Samiah
Habari zakufurahisha sanaaa
julieth boniface
dogo yuko vizuri aende tu
Ernest
Mwache arudi ndani ya EPL akipigeeee
Adelta
Habari nzuri
Furahav
Habari nzuri.
Caroline
Ni sawa tu
Kenani
Wafanye hvy tu itakua poa sana
Agness
Nihabari nzuri
Zeiyana
Ni mchezaji mzur sana watakua wamepata bonge La mchezo
Issa
Mmh wamchukue tu
Fatina mfingi
Makala nzur