Ronaldo Aendeleza Rekodi za Kibabe.

 

Mshambuliaji na staa wa Manchester United na Ureno, Cristiano Ronaldo jana ameandika rekodi mpya ya kuwa mchezaji mwenye hat-trick nyingi zaidi duniani (10) kwa upande wa Timu za Taifa.

 

Ronaldo alifunga hat-trick yake ya 10 akiichezea Ureno katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Luxembourg katika mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar.

Hadi sasa katika maisha yake ya soka mshambuliaji huyo amefunga jumla ya hat-trick 58 katika mashindano yote.

Man United- 1
Real Madrid -44
Juventus -3
Ureno-10


PIGA MKWANJA NA LA ROUGE

Fanya wiki yako iwe ya kuvutia zaidi, tunaelekea Los Angeles kutengeneza mkwanja na kasino maridhawa ya LA Rouge kutoka katika kasino za mtandaoni za meridianbettz, Fursa ya kufurahi huku unajaza pochi yako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.