Ronaldo na Kauli za Soka Bila Mashabiki.


Cristiano Ronaldo, amelilinganisha soka katika viwanja vitupu visivyokuwa na mashabiki kama kwenda kwenye sarakasi bila na kuwa na vazi rasmi la kuchekesha.

Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Ureno, alifunga bao lake la 100 na 101 kwa nchi yake katika ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Sweden Jumanne (08.09.2020) katika ligi ya soka ya mataifa.

“Ni kama kwenda kwenye sarakasi bila mchekeshaji aliyevalia vazi la kuchekesha katika, kwenda kwenye bustani bila maua,” alisema Ronaldo na kuongeza, “Hatupendi kama wachezaji, lakini tayari nimezoea. Ninatafakari kabla ya mechi tayari nikijua kuwa uwanja utakuwa mtupu.”

 

Ronaldo na Kauli za Soka Bila Mashabiki.

Ronaldo alisema kuwa amekosa hata mashabiki wapinzani. “Inasikitisha,” alisema mshambuliaji huyo wa klabu ya Juventus ya Italia.

“Ninapenda wakati ninapodhihakiwa katika mechi za ugenini, inanipa motisha. Lakini suala la afya linatakiwa kupewa kipaumbele na tunahitaji kuheshimu hilo. Lakini inasikitisha.”

Aidha Ronaldo alisema ana matumaini kuwa “ndani ya miezi michache”mashabiki wanaweza kurudi viwanjani kwa sababu wao ndio “furaha” ya mchezo wa soka.

 

Ronaldo na Kauli za Soka Bila Mashabiki.

Kwa magoli yake dhidi ya Sweden, Ronaldo amekuwa mchezaji wa pili tu wa kiume kufikia magoli 100 katika mpira wa miguu wa duniani katika ngazi ya timu za taifa. Anamfuatia tu mshambuliaji wa zamani wa Iran, Ali Daei, ambaye aliifungia timu yake ya taifa mabao 109.


SHINDA NA HI LO

Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.

Cheza Sasa.

48 Komentara

    ni kweli alichosema Ronaldo mashabiki wanaleta motisha uwanjani

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Kucheza bila mashabik ni sawa kucheza mziki bila disko bila mchumba suala la viwanjan kutokuwah na mashabik unapunguzah Sana Radha ya soka na ubunifu wa Hali ya juu yan soka linakosa mvuto kabisa kwn shabik ni mchezaj wa 12 kwny sheria 17 za mchezo wa soka

    Jibu

    Kucheza bila mashabiki mpira haunogi@meridianbettz

    Jibu

    kwel kabisa but itabidi wazoee tu kulina na ugonjwa wa corona

    Jibu

    Bila mashabik ainog

    Jibu

    Mpira hauna radha kabisa bila mashabiki wafanye mashabiki wawepo

    Jibu

    Mpira Ni mashabiki

    Jibu

    Mpira bila ya mashabiki aunogi

    Jibu

    Mashabiki ndo mpango mzima

    Jibu

    Yuko sahii.

    Jibu

    Mashabiki wanaleta hamasa ya mpira

    Jibu

    Mpira bila mashabiki wapi na wapi wafanye mashabiki wawepo tu#Meridianbettz

    Jibu

    Ila kweli mpira bila mashabiki ata haunogi

    Jibu

    Utapooza

    Jibu

    Nikweli mashabiki uleta amsha amsha za kisoka na pia uchanga msha Sana

    Jibu

    Soka bila mashabiki halinogi

    Jibu

    Mechi bila mashabiki haipendez#meridianbettz

    Jibu

    soon mambo yatakuwa sawa izo ni changamoto tu na ni janga la dunia nzima

    Jibu

    Sawa tutafanyaje sasa.haina jinsi

    Jibu

    Kocha wa Timu ya Taifa ya Spain alielezea ni sawa kucheza disco na dada yako! Mpira haunogi bila mashabiki na mashamushamu yao#meridianbettz

    Jibu

    yuko sahh

    Jibu

    Cristian Ronaldo Yuko sahihi kabisah

    Jibu

    Bira mashabiki jau

    Jibu

    Kwa kweli inaboa

    Jibu

    Mpira ni mashabiki

    Jibu

    Yuko sahihi

    Jibu

    Bila shaka uko sahihi kabisa

    Jibu

    Ni changamoto kubwa sana kwa wachezaji lakini ni njia mojawapo ya kupunguza mlipuko wa maambukizi ya Corona.

    Jibu

    Nikweli kabisa utamu wasoka mashabiki

    Jibu

    Yuko sahihi Ronaldo kutokana na hali sasa ivi imebadilika

    Jibu

    Kwer laha ya mpila mashabik bn

    Jibu

    Hizo ni changamoto kubwa kwa mashabiki na wachezaji hiyo yote ni kupunguza nguvu Kasi ya maambikuz ya covid19 lkn kwa upande mwngn Raha ya ngoma iwe na wachezaji.

    Jibu

    Mpira nimashabiki

    Jibu

    kiukwel mech bila kelele za mashabiki hainogi

    Jibu

    Kiukweli bila mashabikii hautanogaa

    Jibu

    Yuko sahihi kwa sababu mshabiki ni mchezaji wa kumi na mbili uwanjani.

    Jibu

    viwanjan kutokuwah na mashabik unapunguzah Sana Radha ya soka na ubunifu wa Hali ya juu yan soka linakosa mvuto kabisa kwn shabik ni mchezaj wa 12 kwny sheria 17 za mchezo wa soka

    Jibu

    Vzr

    Jibu

    Ni changamoto kubwa sana kwa wachezaji lakini ni njia mojawapo ya kupunguza mlipuko wa maambukizi ya Corona.

    Jibu

    Mpira bila mashabiki hauna mvuto kabisa,sababu zile shangwe usiniumizie ,ukitoka nione zinawapa mizuka ya kusakata kandanda vilivyo,lakini sababu ya ugonjwa hatar wa corona haina jinsi maana kinga ni bora kuliko tiba!!!!

    Jibu

    Ni kweli kabisaa yupo sahihi mashabiki ni wa muhimu sana kuwepo uwajani#meridianbett

    Jibu

    Afya ni Muhimu sana Ila Na Mashabiki ni muhimu pia

    Jibu

    Soka bila mashabiki ni kama uhondo kukosekana sana

    Jibu

    Ronaldo yuko sahihi

    Jibu

    Kweli radha ya mpira inaungua mashabiki wasipokuwepo uwanjani kwani zile kelele humuongezea molari mchezaji

    Jibu

    Mashabik katika soka ni wanaleta hamasa
    Sana na upinzan viwanjani

    Jibu

    Gemu bila mashabiki hainogi ata kidogo

    Jibu

Acha ujumbe