Gonzalo Higuain yuko katika mchakato wa kukubali mkataba na Juventus, ambayo itamruhusu ajiunge na Inter Miami kama wakala huru.
Mshambuliaji huyu kwa sasa hayupo katika mipango ya meneja mpya Andrea Pirlo na alikiri kwamba hawezi kubadilisha msimamo huo, hasa ukizingatia kuwa amebakiza mwaka mmoja tu kwenye mkataba wake.
Ndugu yake, ambaye pia ni wakala wake Nicolas alisafiri kwenda Italia wiki hii kwa mazungumzo zaidi juu ya hali ya mkataba na uwezekano wa kumaliza mkataba kwa makubaliano na inaripotiwa kuwa wanakaribia kufikia hitimisho bora kwa pande zote mbili.
Hii itamfanya Higuain kusitisha mkataba wake kabla ya mda wake wa mkataba kuisha, na kwa mujibu wa taarifa atapokea malipo ya asilimia 50 tu ya mshahara wa mwaka uliobaki.
Inaripotiwa kuwa tayari alikuwa amewaaga wachezaji wenzake tayari kwa kuondoka.
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.


Tatu
Gonzalo ni mchezaji mzuri kwenye kujituma
Neema
Asante kwa taarifa meridianbet
Adelta
Bola atafute changamoto mpya maan kocha anamipango nae
Sauda
Gonzalo anajituma sana
Nasra
Bora atafute mbinu mpya
Caroline
Higuain Juventus ni timu kubwa Sana.hongera
Mwajumah
Gonzalo ni mchezaji mzuri sana anajua uyu jamaa#Meridianbettz
Hope mwaikuka
Popote utafit tu ucjal
Furahav
Aende tu inter miami,akapambane.
Hidaya
Aende tu kikubwa maslahi
Theonestina
Maisha popote.
lombo
habar njema
Dorophina
Gonzalo Ni mchezaji mzuri sana
Lydia Emmanuel Magoti
Yupo vizuri anajituma Sana akiwa kwenye kazi yake
felister
aangalie maslai kazi popote
Fatina
Kambi popote
Saupha mohamed
Kambi popote
Salma ngende
Safari njema
Mwanahamisi
Kikubwa maslahi
Samiah
Aongeze bidiii ktk kazi
Povel
Kila la heri umri tatizo hawez cheza soka la ushindan tena
Fatuma kasomo
Kila la kheri
Genia Sikaluzwe
Habari njema
Ester jackson
Habari njema
Ernest
Higuain akamalizie soka lake huko sio mbaya
aisha
Higuain kipaji anacho
Amiri Kayera
Atafut changamoto mpya
kabogoro
kiukweli mm ningekuwa kocha kwa mchezaj kam higuain ningembadilisha position nione uwezo wake kwamm naona eneo la ushambuliaji wa mwisho halimfai.
Sabrina
Itakua poa sana kama atajiunga inter miami
Shafii
Kila lakheri huko aendako.
Gabriel
Gonzalo ni mchezaji mzuri sana Kila lakheri huko aendako.
Janeflora malisa
Vzr
Aziza mushi
Maisha popote tu
David Pere
kiukweli mm ningekuwa kocha kwa mchezaj kam higuain ningembadilisha position nione uwezo wake kwamm naona eneo la ushambuliaji wa mwisho halimfai.
Rose kapinga
Kila hatua dua,cha msingi kujituma tuu!!!
Elika
Safari njema
Johnmary joel
Namkubali sanaa kila raheri#meridianbett
[email protected]
Asnt kwa taarifa nzr
warda
Higuain yuko poa popote atapata Liziki#Meridianbettz
Latifa juma mohamed
Asante kwa taarifa meridianbet
Theckla
Habari njema
Devotha
Asante kwa taarifa
Shani
Higuain ni safi kuenda miam kuendeleza soka la marekani ni mchezaji ambae ana uzoefu na ligi mbalimbali
Magdalena
Kila la kheri mwamba popote kambi