Beki wa pembeni wa klabu ya Roma, Alessandro Florenzi anatajwa kuwa mbioni kujiunga na klabu ya Paris Saint-Germain kwa mkopo huku kukiwa na chaguo la kumnunua.
Kwa mujibu wa La Gazzetta dello Sport, na vyanzo vingine vya habari za michezo nchini Italia wakiwemo Sky Sport Italia, Tuttomercatoweb na Sportitali, wote wamelipa uzito suala hili.
Kwa mujibu wa taarifa, kumekuwa na maendeleo ya haraka kutoka katika mazungumzo ya awali kuelekea kukamilika kwa mpango huu wa uhamisho. kutoka Ufaransa, taarifa zinasema kuwa mchezaji huyo wa kimataifa wa Italia anatarajiwa kuwepo Paris mwishoni mwa wiki kwa ajili ya vipimo vya afya.

Florenzi alienda Valencia mnamo Januari kwa mkopo, lakini hakuweza kupata mda wa kutosha wa kucheza kwa sababu ya kusimama kwa michezo, pamoja na majeraha.
Kocha wa Roma Paulo Fonseca hivi karibuni alibadilisha mfumo wake kuwa safu ya wachezaji watatu nyuma, ambayo ingemuweka Florenzi upande wa kulia wa kiungo, lakini inaonekana bado haoni mchezaji huyo wa miaka 29 anaweza kuendelea kuwepo katika mipango yake.
Alessandro Florenzi atakuwa Mtaliano wa pili PSG, baada ya Marco Verratti, wakati mshambuliaji wa zamani wa Inter Mauro Icardi pia akiwepo hapo.
Mlinda lango wa Juventus Gianluigi Buffon na mzuia mashuti wa Torino Salvatore Sirigu ni Waitaliano wengine ambao walipitia klabu hii ya Paris.
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.


Povel
Habar njema kwake florenzi Kama deal la kujiunga na Matajir wa ufaransa likatakuwa done
Adelta
Ni vizuri sana@meridianbettz
Dorophina
Ili Ni bonge la dili kwa florenzi likikamilika itakuwa poa
Shani
So nice
Hope mwaikuka
Nmeilewa hii
Flomena
So Amazing
Tatu
Florenzi amepata bonge LA dili
Nasra
Nice
Caroline
Allesandro karibu PSG
Mwajumah
Likikamilika litakua bonge la dili kwa florenzi#Meridianbettz
Fatina
Nice
Sauda
Habari nzuri sana kwa Florenz endapo dili litatiki..
Furahav
Jambo jema.
Khadija
Nice#meridianbettz
Hidaya
Psg wamwage mpunga mezani
Theonestina
Safiii
lombo
habar njema
felister
bonge moja la dili kwa florenz
Lydia Emmanuel Magoti
Habari nzuri kwa Florenz
Saupha mohamed
Habari njema
Salma ngende
Vizuri
Samiah
Gud
Mwanahamisi
Nice
Fatuma kasomo
Habari njema
Genia Sikaluzwe
Ni Jambo jema
Ester jackson
Litakuwa pambe sana likikamilika
Ernest
Deal zuri kwa Florenzi
aisha
Itakua powa sana kama dili hili likikaa sawa
Amiri Kayera
Kila la kher
Sabrina
Safi sana
Neema
Dili zuri hilo
Gabriel
deal la kujiunga na Matajir wa ufaransa imekaa poa sana 👍
Shafii
Habari njema.
Janeflora malisa
Good
Aziza mushi
Habari njema.
David Pere
Alessandro Florenzi atakuwa Mtaliano wa pili PSG, baada ya Marco Verratti, wakati mshambuliaji wa zamani wa Inter Mauro Icardi pia akiwepo hapo.
Rose kapinga
Hongera kazi kazini!!!
Elika
Karibu chama la wana
[email protected]
Habari nzuri
warda
Acha Akaongeze nguvu PSG#Meridianbettz
Issa
Usajili.muhimu sana
Theckla
Safi sana ni beki anayejua majukum yake
JULIANA WILBARD ALEX
Safi
Devotha
Good deal
Magdalena
Kapige kazi mwamba PSG timu kubwA