Mchezaji kinda wa Tottenham, Dane Scarlett ameingia kwenye rekodi ya kuwa mchezaji mdogo kucheza katika klabu ya Tottenham akiwa na miaka 16 na miezi 8.

Scarlett alitokea benchi katika mchezo wa Ligi ya Europa dhidi ya Ludogorets na kuisaidia timu yake kupata ushindi wa 4-0 na kufuzu katika hatua ya 32 bora.

 

Scarlett Avunja Rekodi Tottenham.

Wachezaji wengine makinda waliocheza katika mchezo huo ni Tanganga, Harvey White, Alfie Whiteman, na Jack Clarke.

“Na Furaha kwa Vijana hawa, wengi wameonyesha mchezo mzuri leo.

“Nawajua hawa watoto vizuri. Harvey White anafanya mazoezi na kikosi cha kwanza kila siku, kama ilivyo kwa Clarke, dane Scarlett walivyofanya katika pre-season. Tunajua wanachoweza kufanya lakini inatakiwa kuwa katika muda muafaka na leo imekuwa muda sahihi kwao.” alisema kocha Jose Morinho


USICHELEWE KUKAMATA MKWANJA HUU!

Hadi 130,000,000 TSH Kutolewa kwa washiriki wa shindano la Playson Cashfall. Unaipata kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet Pekee. Jisajili sasa, kisha ingia mchezoni kabla ya Novemba 29.

Meridianbet Tanzania Casino

SOMA ZAIDI

16 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa