Serena Williams Kurejea Mashindano ya Wimbledon.

Staa wa Tenisi wa Marekani, Serena Williams anatarajiwa kurejea dimbani katika mashindano ya Wimbledon 2022 baada ya kukaa nje kwa mwaka mzima akiuguza majeraha la kifundo cha mguu.

 

S.Williams 40, amethibitisha katika mtandao wake wa Instagram kwamba atarejea katika mazoezi ya moja kwa moja na Aaron Rodgers katika uwanja wa Bitcoin, Miami, “Tulikua tunaongelea kuhusu urejeo wangu, na amekua ananiandaa kwaajili ya Wimbledon. Siwezi kusubiri!”

Serena aliumia mwaka mmoja uliopita katika raundi ya kwanza ya mashindano ya Wimbledon na baadae kukosa mashindano yaliyofuata ya Olympics, US Open na Australia Open kwasababu ya majeraha hayo.

Wimbledon itaanza June, 27 mpaka July 10 mwaka huu , Serena ameshinda mataji saba katika uwanja huo wakati taji lake la mwisho kutwaa uwanjani hapo likiwa mwaka 2016.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

Acha ujumbe