Hii ni wikiendi ya mwisho kunako burudani ya soka la Ulaya. Mwisho wa msimu wa 2021/22 ni mwanzo wa timu kuingia sokoni kwa maandalizi ya msimu ujao.

Idadi ya wachezaji huru inaendelea kuongezeka sokoni kuelekea michezo ya kukamilisha msimu huu. Baadhi ya wachezaji hawa, ni nyota kwenye timu wanazotoka na pengine, wanamvuto sokoni kwa timu zitakazowahitaji.

Sokoni, Sokoni Kumenoga, Vilabu Vimetema., Meridianbet

Wakati ulimwengu ukisubiri hatma ya Kylian Mbappe, Real Madrid wamethibitisha kuondoka kwa Isco Scallion ambaye ameitumikia Madrid jana usiku kwa mara ya mwisho. Pamajo naye, Angel Di Maria amethibitishwa kuondoka PSG baada ya kuitumikia timu hiyo kwa misimu 7.

Paul Pogba

Kwenye EPL, Fernandinho, Origi, Paul Pogba, Juan Mata, Edinson Cavani, Nemanja Matic na Jesse Lingard ni miongoni mwa wachezaji huru na watakua sokoni baada ya msimu kutamatika kesho usiku.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa