Steve G Anena Kwa Mara ya Kwanza.

Steven Gerrard (Steve G) amerejea kwenye EPL safari hii akiwa kama kocha mkuu wa Aston Villa. Kwa mara ya kwanza, ataiongoza Villa wikiendi hii kwenye EPL.

Steve G anatua Villa Park akichukua nafasi ya Dean Smith ambaye aliondolewa klabuni hapo muda mfupi kabla ya kutajwa kuchukua mikoba ya Daniel Farke kule Carrow Road (Norwich City).

Akizungumza na waandishi wa habari kwa mara ya kwanza, Steve G amegusia vitu kadhaa kuelekea mchezo dhidi ya Brighton Hove Albion;

“Ni Heshima”, Gerrard anasema ni heshima kubwa kwake kuingoza Aston Villa. Fursa ya kurejea kwenye EPL na kuwa karibu na familia yake, ni vitu vikubwa viwili vilivyomfanya akubali kuwa kocha wa Villa.

“Siku zote, mafanikio kwenye soka ni ushindi”, lengo la muda mrefu ni klabu kurejea kwenye viwango vya Ulaya. Huu sio muda sahihi wa kuamua ni lini hilo litatokea. Lengo la muda mfupi ni kushinda mchezo dhidi ya Brighton wikiendi hii. Tunahitaji kuanza kushinda michezo yote na kupanda juu kwenye msimamo wa ligi.


WIKI NJEMA NA CRAZY TIME CASINO!

Unasababu milioni za kucheza unavyotaka ukiwa na mabingwa meridianbet, lakini unasababu moja ya kushinda mamilioni katika kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo maridhawa wa Crazy Time unakupa sababu hizo kuwa mmoja wa washindi leo hii.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.