Tetesi za zinasema Manchester United huenda wakawasilisha dau la kumnunua kiungo wa kati wa West Ham Declan Rice, 21, japo mchezaji huyo anadhaniwa kutaka kujiunga na Chelsea endapo ataamua kuondoka Hammers.
Tetesi zinasema Wolves inamfuatilia mshambuliaji wa Liverpool na Ubelgiji Divock Origi, 25, ambaye huenda akaruhusiwa kuondoka mwezi Januari.
Manchester United wanashughulikia mchakato wa Marcos Rojo kuondoka klabu hiyo mwezi Januari, huku Newcastle wakipania kumsajili kwa mkopo mlinzi huyo wa Argentina aliye na umri wa miaka 30.

Liverpool wamemuongeza mchezaji Roma wa safu ya kati na nyuma Roger Ibanez katika orodha ya walinzi wanaosakwa kujaza pengo lililoachwa na mchezaji wa kimataifa wa Uholanzi Virgil van Dijk, 29, aliyejeruhiwa na huenda wakawasilisha dau la £30m kumnunua.
Mgombea wa Rais wa Barcelona Victor Font amesema hatarudia makosa yaliyofanywa na watangulizi wake kutangaza nia ya kuwanunua wachezaji nyota licha ya kuhusishwa na tetesi za kumnyatia mshambuliaji wa Borussia Dortmund na Norway Erling Haaland, 20. Lakini anapanga kumshawishi Lionel Messi, 33, kusaini mkataba mpya.
Kiungo wakati wa Hungary Dominik Szoboszlai, 20, anayenyatiwa na Arsenal, amekamilisha uhamisho wa RB Leipzig kutoka klabu dada ya Red Bull Salzburg, na anatarajiwa kujiunga nayo mwezi Januari baada ya kusaini mkataba wa miaka minne na nusu.

Tetesi zinasema Arsenal inakaribia kukamilisha usajili wa mchezaji wa safu ya kati na nyuma ya Hertha Berlin Omar Rekik baada ya mlinzi huyo aliye na umri wa miaka 18-year-kuwasili mjini London siku ya Alhamisi.
Napoli inataka angalau £14m kumuuza mshambuliaji wa Poland Arkadiusz Milik mwezi Januari Januari licha ya mchezaji huyo kunyatiwa na Juventus na Atletico Madrid.
Mkufunzi wa Everton Carlo Ancelotti ana matumaini ya kukamilisha mkataba wake katika klabu hiyo kwa ushindi wa mataji katika kipindi cha muda atakaokuwa hapo hadi mwisho wa msimu wa 2023-24.
BURUDIKA NA WANYAMAPORI WAKIIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYA MUZIKI!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, furahia mchezo wa Forest Rock. Hapa utaburudika na umahiri wa wanyapori wanaoimba na kutumia vifaa vya muziki wa rock. Burudika huku ukijiwekea nafasi ya kutengeneza pesa ndefu kupitia Meridianbet!!



Hopemwaikuka
Man u wakimpata huyo jamaa itakua poa
Adelta
Hii ni makala nzuri yenye maelezo mazuri kwa kutuelimisha
Shakila mrope
Asant kwa makala meridian bett pesa njenje
Rahma
Asante kwa makala meridian bet
Sarah
Man u wajitahidi wampate tu
Dorophina
Man u wakimpata rice itakuwa poa sana dogo yupo vizuri
felister
man wajitahidi
Janeflora malisa
Safi
lombo
Vzr
Lydia Emmanuel Magoti
Man U wajitaidi wakimpata itakuwa poa
Saupha mohamed
Good
Caroline
Asante kwa taarifa
Ally mohamedi ally
Mpo vizur meridian bet
Tatu
Man Utd wajitahidi
samiah
Safi