Tetesi zinasema, Arsenal wako tayari kulipa zaidi ya pauni milioni 42 kwa ajili ya kiungo wa kati wa Lazio Mserbia Sergej Milinkovic-Savic, ingawa Newcastle wanaweza pia kuweza dau kwa ajili ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 17.

Tetesi zinasema, AC Milan ndio klabu ya hivi karibuni kabisa kuonyesha nia ya kumsajili mshambuliaji Mbrazili wa Manchester City Gabriel Jesus, 25.

Tetesi zinasema, PSG wanajaribu kumshawishi kocha wa zamani wa Real Madrid Zidane, 49, kuchukua nafasi ya Mauricio Pochettino kama meneja wao mpya.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Arsenal wamekamilisha usajili wa mshambuliaji mbrazili Marquinhos, 19 kutoka klabu ya Sao Paulo kwa mkataba wa miaka mitano kwa malipo ya takriban pauni milioni 3.

The Gunners ni moja ya klabu zinazomuwania mchezaji wa Leeds United Raphinha, 25 msimu huu, huku Barcelona, Manchester United, Chelsea na Liverpool zikihusishwa pia na winga huyo Mbrazili.

Liverpool bado haijakubali gharama kwa ajili ya mshambuliaji wa Benfica, Darwin Nunez, lakini Muruguay huyo mwenye umri wa miaka 22 tayari amewaambia marafiki zake na familia yake kwamba anahamia Anfield.

 

Vilabu vya Ulaya Vinavyokimbizana kwa Darwin Nunez

Uhusiano wa mmiliki wa Chelsea Todd Boehly na Jay-Z’s Roc Nation Sports unaweza kuwa ni muhimu kwa hali ya baadaye ya Romelu Lukaku, 29, na matumaini ya mshambuliaji huyo wa Ubelgiji ya kurejea Inter Milan.

Tetesi zinasema, Liverpool wameanza mazungumzo na Naby Keita juu ya mkataba kwa ajili ya kiungo huyu wa kati wa raia wa Guinea, 27.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa