Tetesi za Soka Barani Ulaya.


Tetesi zinasema Kocha wa Chelsea Frank Lampard anahitaji klabu hiyo kujaribu kufanya usajili wa kiungo mkabaji wa West Ham United Declan Rice 21 ingawa hakuna dau lililotumwa.

Usajili wa kiungo huyo kutokea kwa wagonga nyundo wa London kutamfanya Jorginho wa Chelsea na Italia kutua ndani ya Arsenal.

Tetesi zinasema Paris St-Germain wanavutiwa kumsajili mlinzi wa kati wa Chelsea na Ujerumani Antonio Rudiger, 27, ambapo Chelsea wako tayari kumtoa kwa mkopo na sio kumuuza.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Tetesi zinasema Tottenham wako kwenye mazungumzo na kitasa wa Slovakia ambaye anakipiga kunako klabu ya Inter Milan Milan Skriniar, 25.

Inter wanaweza pia kumsajili beki wa kati wa England na Manchester United Chris Smalling 30 kama watashindwa kufikia dau la Mslovakia.

Tetesi zinasema Sevilla wanatarajia ofa nyingine kubwa kutoka kwa Manchester City inayomhitaji beki wao Jules Kounde, 21.

Arsenal wametuma ofa ya pauni milioni 32 ya kumhitaji kiungo wa Lyon Houssem Aouar 22 ingawa klabu hiyo inahitaji kiasi cha pauni milioni 54.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Tetesi zinasema Aouar amekubali kutua The Gunners baada ya klabu aliyokuwa akiihitaji ya Manchester City kutotuma ofa yoyote mpaka sasa.

Nyota wa Liverpool na England aliye chini ya miaka 20 Rhian Brewster, anavutiwa kutua Sheffield United licha ya klabu ya Aston Villa kuhitaji huduma ya kinda huyo.

Leeds United wanakaribia kumsajili kiungo wa Kiholanzi mwenye miaka 22, Teun Koopmeiners kutokea AZ Alkmaar.

Meneja wa Chelsea Frank Lampard anapanga kufanya mazungumzo na kioa wa Hispania Kepa Arrizabalaga, 25, juu ya hatima yake hasa baada ya kusajiliwa kwa Mendy 28 kutokea Senegal na Rennes.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Kocha wa Newcastle United Steve Bruce amesema hafikiria kumuuza mshambuliaji wake raia wa Brazil Joelinton, 24, majira haya.

Tetesi zinasema Watford wanafikiria kumsajili beki wa kati wa Sheffield United Dominic Iorfa, ambaye amewahi kukitumikia kikosi cha England chini ya miaka 21.


FURAHIA KASINO YA MTANDAONI

Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.

Cheza Sasa

39 Komentara

    Kwa hali ilivyosasa Chelsea wanaweza tupa karata yao ya mwisho ili kuimarisha kikosi chao zaidi

    Jibu

    Litakuwa Ni Jambo zur kma wanampat ili kuimalisha kikosi

    Jibu

    Uchambuz umekwenda shule!!!!!

    Jibu

    Habari hipo vizuri

    Jibu

    Makala inaeleweka

    Jibu

    Chelsea wakijitaidi watafika mbali

    Jibu

    Makala imetulia.

    Jibu

    Chelsea wana tapa tapa tu hawana humakini na usajili wao

    Jibu

    Mm naona usajili umepamba moto kwa vilabu vyote

    Jibu

    naona lampard hataki mzaa kabisa msimu huu

    Jibu

    Kwa sasa Chelsea hawana jipya

    Jibu

    Habari ipo vizuri na imeeleweka

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Chelsea mnakwama wapi mbona kikosi hakijakamilika

    Jibu

    Itakua vizuri kikosi kitaimalika zaidi

    Jibu

    Chelsea wafanye mpango wa kuimarisha vikosi vyao

    Jibu

    Goodupdate

    Jibu

    Habari njema.

    Jibu

    Nihabari njema

    Jibu

    Makala ya kueleweka

    Jibu

    Imekaa poa sana

    Jibu

    Zko gud

    Jibu

    Psg wafanye wamsajili huyu rudiger sbabu ni mchezaj ambae atwasaidia kwa kias kikubwa

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Taarifa moto za usajir

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Itakua vizuri

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Good

    Jibu

    mambo ya usajili yanazidi kupamba moto uingereza

    Jibu

    Nice information

    Jibu

    Chelsea usajili wao hata haueleweki kabisa

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Nimewaelewaa vyema

    Jibu

    Tetesi za uhakika

    Jibu

    Kwa hali ilivyosasa Chelsea wanaweza tupa karata yao ya mwisho ili kuimarisha kikosi chao zaidi

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.