Thiago Silva Aongeza Mkataba Hadi 2023

Mlinzi wa klabu ya Chelsea Thiago Silva ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia klabu hiyo makataba wake utafika tamati June 2023

Klabu ya Chelsea leo jumatatu wamethibitisha kumpa mkataba mlinzi wao raia wa Brazili Thiago Silva, mkataba wa miaka miwli kuendelea kusalia klabuni hapo mpaka June 2023, huku Silva akiwa haamini kupewa mkataba wa muda mrefu na kuelezea jinsi alivyokuwa na furaha mlinzi huyo mwenye umri wa miaka 37.

Thiago Silva

“kucheza hapa ni furaha kubwa, sikufikilia ningecheza kwa miaka mitatu kwenye klabu hii k bora, nina furaha na msimu mpya, ningependa kuishukuru familia yangu, klabu ,Marina na Abramovich kwa nafasi hii. nitaendelea kukjitoa kwa kadri niwezavyo.” Alisema Thiago Silva

Thiago Silva amefanikiwa kuichezea klabu ya Chelsea michezo 56 huku akiisaidia kuweza kushinda kombe la klabu bingwa barani Ulaya


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe