Beki wa Chelsea, Thiago Silva anatarajiwa kuendelea kuwepo nje ya dimba baada ya hapo jana kocha Thomas Tuchel kuthibitisha mchezaji huyo ataikosa mechi ya leo.

Mbrazil huyo hayupo tangu walipo kushinda dhidi ya Spurs mwezi mmoja uliopita, mchezo ambao alitoka wakati wa kipindi cha kwanza na jeraha la paja. Baada ya kukosa mazoezi wiki iliyopita, Thiago Silva alijiunga na wachezaji wenzake kwenye nyasi jana.

Akizungumza katika mkutano wake na waandishi wa habari kabla ya mechi na kabla ya mazoezi ya mwisho kabla ya mchezo leo, Tuchel aliripoti safari ya Anfield itakuja haraka sana kwa Thiago Silva.

 

thiago, Thiago Silva Kuikosa Liverpool Anfield., Meridianbet

Thiago alifanya mazoezi yake ya kwanza na timu lakini hakumaliza mazoezi ya mwisho, sio kwa sababu ya maumivu yoyote lakini tu kulihitaji kuchukua tahadhari, “alisema bosi huyo.

Nadhani atafanya mazoezi leo [jana] lakini hayuko fiti kwa asilimia 100 kwa hivyo hatajiunga na kikosi cha Liverpool.

Kila mtu yupo sawa. Callum hana shida kabisa. Alikuwa akifanya mazoezi kamili na timu jana [juzi].

Tammy alikuwa na shida jana kwenye kifundo cha mguu wake tena. Wacha tuone jinsi hii inavyofanya kazi leo [jana].” aliongeza


Ni Muda wa Kuvuna Mkwanja na Jungle Jim and the Lost Sphinx

Hauihitaji kufikira mara mbili ni mchezo gani utakupatia mkwanja ndani ya kasino za Meridianbet. Jiunge sasa ufurahie Jungle Jim and the Lost Sphinx.

thiago, Thiago Silva Kuikosa Liverpool Anfield., Meridianbet

  CHEZA HAPA

9 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa