Unai " Ozil Anazingua"

Unai Emery amekosoa mtazamo na uwajibikaji wa Ozil wakati wake kama Kocha wa Arsenal na amesema kikosi chote hakuna aliyetaka Mjerumani huyo awe nahodha.

Enery ambae alitimuliwa November, klabu imekuwa katika kipindi kibaya kama 1992 kabla ya nafasi yake kuchukuliwa na Freddie Ljungberg kabla ya Mikel Arteta kuchukua mikoba jumla.

Ozil alikuwa haaminiki kuanza mara kwa mara kipindi cha Unai na kufanya kucheza mechi kumi msimu mzima, lakini Kocha huyo wa zamani ametajihidi kwa uwezo wake kumsaidia.

Emery amesema “Lazima uwe mdadisi sana kujua mtazamo wake na kujitoa kwake.

“Nimejitahidi sana kumsaidia Ozil. Kipindi chote cha maisha yangu ya soka, wachezajiw enye vipaji wamefikia viwango vikubwa wakiwa kwangu. Mara zote nimekuwa chanya kwake nikitaka acheze na kuhusika.

“Wakati kabla ya msimu, nilimwambia nataka awe Ozil bora. Nilitaka ahusike kwa kiwango kikubwa na awajibike kwenye vyumba vya kubadilishia nguo. Nilimuheshimu na kufikiri itamsaidia.

“Angekuwa nahodha lakini chumba cha kubadilishia ngio kilimkataa. Hicho sio nilichoamua mimi, ni wachezaji wenzake waliamua. Manahodha ni wachezaji wanaotakiwa kulinda klabu, kocha na wachezaji wenzake.”

39 Komentara

    Itamletea shida hii

    Jibu

    Ni kuwa nae bega kwa bega huenda ataelewa tuu.atakuwa ozil bora vile inavyotakiwa

    Jibu

    Hii habari mpya asanteni kutujuza #meridianbet

    Jibu

    Hiyo itakuwa hatari waache ubaguzi

    Jibu

    Anazingua nini tena

    Jibu

    Siyovzr kufanya ubaguzi

    Jibu

    Ozil ndo alivyo siku zote ilitakiwa amzoee

    Jibu

    Waache ubaguzi

    Jibu

    Thanks meridian kwa update

    Jibu

    kwani amezingua nini tena

    Jibu

    amezingua nini tena

    Jibu

    Sio sifa nzuri kwa Ozil

    Jibu

    Asante meridianbet kwa taarifa

    Jibu

    anatakiwa amzoee ndivyo alivyo

    Jibu

    Safi kwa habari nzuri za michezo.sio kitu kizuri kwa mchezaji mkubwa kama ozil#

    Jibu

    Siyo vizur huo ni ubaguzi

    Jibu

    ozil tabia yako itafanya watu wasikukubali

    Jibu

    Asante meridianbet kwa taarifa

    Jibu

    Unai anakumbuka shuka kumekucha, alichosema hakina maana kwa sasa#meridianbettz

    Jibu

    Huo ubaguzi ss.

    Jibu

    Alishindwa kumtumia ipasavyo ndio maana kamuna anazingua

    Jibu

    Amezingua nn?tena#meridian

    Jibu

    Ubaguzi sio mzuri

    Jibu

    Safi sn habari mzr meridianbet

    Jibu

    Duuh iyo ni noma sana

    Jibu

    Ozil mbona yupo vizuri

    Jibu

    gud nemz

    Jibu

    Ozil should go ,he has no longer needed

    Jibu

    Ni too late but iko na faida kwa team

    Jibu

    Ahsante meridian kwa taarifa

    Jibu

    Ozil yupo vizuri sana

    Jibu

    Ni wakati sana kwa Ozil kwenda kumalizia soka sehemu nyingine.

    Jibu

    Ozil hana tena impact kwenye timu ya arsenal,anapewa mshahara wa bure , auzwe tu

    Jibu

    Ozil yuko vzur bhana

    Jibu

    Asante kwa taarifa nzuri za michezo# meridianbettz

    Jibu

    Unai anakumbuka shuka kumekucha, alichosema hakina maana#meridianbettz

    Jibu

    Duh ,#meridianbet

    Jibu

    Ozi yuko kakta wakati mgumu sana ,asikate tamaa .

    Jibu

    Ozil yuko vizuri

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.