Vilabu vya Serie A vitaanza mazoezi ya kikosi kizima Jumatatu baada ya kupata ruhusa kwa Waziri Mkuu wa Italia Giuseppe Conte.
Serikali ya Italia imethibitisha klabu zinaweza kuanza mazoezi ya wachezaji wote kwa mara ya kwanza tanguLigi isimamishwe Machi 9.
Vilabu viliruhusiwa kuanza mazoezi Jumatatu iliyopita lakini kwa mtu mmoja mmoja na kuheshimu umbali wa mtu na mtu.
Kwenye kikao na waandishi wa habaru Jumamosi, Conte amesema: “Kwanzia Mei 18 maduka, saluni za kike na kiume, baa, migahawa, mazoezi ya timu za mpira wa miguu na makumbusho zitaweza kufunguliwa.

“Lakini ni kwa kuhakikisha sheria na maagizo yote yanafuatwa na kudhibitiwa na kanda maalum.”
Hakuna tarehe iliyowekwa kwaajili ya Serie A kuanza lakini imeonyesha mwanga kwa klabu zilizopiga kura Juni 13.
“Tunatakiwa kuelewa kama hali itaruhusu Ligi kuendelea lazima tuhakikishe usalama kwa 100%. Lazima tujidhatiti sana, tuna matumaini tutaanza haraka iwezekanavyo,” ameongeza.
Juventus ndio vinara wakati Ligi ikisimama, kwa pointi moja juu ya Laizo.


Furahav
Vzr waziri conte.
lombo
mambo n motoooo meridianbet mpo juuu
frank patrick
Weekend zinarudi kuchangamka na soka tenaa…
Povel
Thanks kwa habar Moto moto
mwakalosi
Burudani inarudi tena
Asha
Thnks meridian za Moto moto
Ernest
Its a good sign for Serie A to be back!! all the best.
Amani
Its a good sign for Serie A#meridianbettz
Carolyne
Wazidi kuchukua tahadhari.
felister
asante waziri
Salma
Vizur sana tahadhali Ni muhimi
Rehema Dickson
Habari nzuri sana hii asante@meridian
Kenani
Safi kabisa
Neema hassan
Habari nzuri Sana kwa mashabiki .
Elika
Bora ligi zirudi tumemiss michezo sana
Ester jackson
Safii sana WAZIRI mkuu wa Italia mambo mazuri hayaaaa
hamidu
hbr nzuri wapenda soka .seria A inarejea fursa ndo hiyo wazee wa kubet.#meridianbettz
Samiah
Habari nzri kwa wapenzi wa soka
Dorophina
Hbr nzuri ss kila weekend ni burudani tu
Antony Luseno
Safi sana taraatibu mambo yanarejea kama mwanzo
aisha
safi sana waziri
Mwajuma
Safi habari nzuri..kwa wapenda soka burudani si ndo hiyo .# meridianbettz
geniaskaluzwe8
Vizuri Sana
winfrida
daaaaaah afazali
Mariam mtandama
Safi sana
David pere
Wapige tizi tu wake watupe pesa
Agness
Duuh afadhari ila waendelee kujikinga
Rehema
Mambo motoo meridianbet mko juu
Tahiya
Hatimaye seria a inarejea
Lydia Emmanuel Magoti
Mambo Moto meridian mpovizuri
SADICK
Habari njema kwa wapenda Soka#Meridianbettz
Neema juma
Hayo ndo maneno tulokuwa tunayasubiria.
Zeiyana iddi
Mashabiki tunasubir kwa amu ligi msimu mpya..!
Emmy cleopa
Safi sana wazir
Adelta
Asante meridianbet kwa taarifa
Gabriel
Good news 👍# meridianbettz
Magdalena
Habar nzur kwa cc wapenda soka #meridianbet
Asia Abdy
Safii