Kocha wa Chelsea Frank Lampard amesema anatamani klabu iwaongezee mikataba Olivier Giroud na Willian hadi mwisho wa msimu.
Premier League imesema mapema wiki hii kuwa mikataba inayomalizika Juni 30 inaweza kuongezwa kwa muda mfupi hadi Ligi itakapomalizika baada ya pande mbili kufikia makubaliano.
Wote Willian, 31, na Giroud, 33, mikataba yao inamalizika kipindi hiki cha kiangazi na wachezaji wote wamehusishwa kuwaniwa na vilabu mbalimbali, Willian akitakiwa na Liverpool na Giroud Inter Milan.
The Blues itawapoteza wachezaji hao nyota kipindi hiki cha kiangazi, wakati Willian akitafuta klabu itakayompatia mkataba wa miaka mitatu na Giroud anatafuta klabu ya kumpa muda mwingi wa kucheza.
“Bado sina uhakika kama tunaweza kucheza. Tunawachezaji wakubwa mikataba yao inamalizika, hicho ni kitu cha kukiangalia kwa makini,”
“Wanaomaliza mikataba yao wamekuwa watumishi wazuri wa klabu na wanahisia kwa klabu.
“Ni kweli klabu lazima inwaangalie, kuhusu kurejea mazoezini sasa na kuhusu mwanzo wa msimu ujao lazima tufanye haraka ili tuhakikishe wapo sawa.
“Kwahiyo kuna kitu lazi tuangalie, ni matumaini yangu tutapanga namna ili kufanya mipango wabak na sisi.
“Napenda niwe na kikosi hiki misimu yote, lakini tunataangalia namna itakavyokuwa.”


frank patrick
Itakuwa ni faida kubwa sana kwa makinda kama Abraham na Mount kujifunza zaidi kupitia wao…
winfrida
namkubali sana willian anajua sana
Ester mmakasa
Ni habari nzuri sana ,asnte meridianbet .
Povel
Wabaki wapewe wanachokihitaj ili Malinda wawez kujifunz kupitiah wao
Neema hassan
Daah..mashabiki wa Chelsea tutawamisi sanaaa..
Salma
Wabaki ili mambo yaende vizur
Ernest
Ni kweli Olivier Giroud na Willian wanamchango mkubwa sana ndani ya Club ya Chelsea.
lombo
asante meridianbet kwa update
Hope mwaikuka
Willian yuko poa sana
Mariam mtandama
Asante meridianbet #
Carolyne
Warudi tu
Lydia Emmanuel Magoti
Willian anajua kiungo mzuri
Samiah
Asanteee meridian kwataarifa
geniaskaluzwe8
Wilian Yuko vizuri sana
Fatina
Asanteh kwa taarifa
Ester jackson
Bora William aondoke tu Chelsea hata aende huko Liverpool abadilishe mazingira ya wachezaji
Furahav
Majanga.
Rehema Dickson
William yuko vizuri sana
Swai
William yuko vizuri anajua. Kitu anachokifanya
mwakalosi
Wafanye haraka maana mawakala wa wachezaji ni watu hatari
Emmy cleopa
William yupo vizur sana
felister
haina haja ya kuwaongezea mkataba
Antony Luseno
Bado wana makali kubaki katika kikosi cha darajani
Asia Abdy
Itakua poa
Asia Abdy
Itakuwa poa
mwakalosi
willian mchezaji muhimu pale chelsea .safi meridianbet kw hbr moto moto za michezo#meridianbettz
Amani
willian mchezaji muhimu pale chelsea#meridianbettz
hamidu
willian bonge la mchezaji..sitegemee kuondoka pale chelsea bado anaitajika#meridianbettz
Elika
Tunawashukuru sana meridianbet mnatupatia kile kilicho bora kwa sisi wateja wenu
Dorophina
Wanamchango mkubwa sana kwenye timu
aisha
namkubali sana willian
Mwajuma
Willian ni mchezaji muhimu ndani chelsea anahitajika kubaki asante meridianbettz kwa taarifa nzuri za michezo.
David pere
Kawaona ni wachezaji wanaompa Raha wanapokuwa uwanjani
khadija
namkubali sana willian
Agness
Tunashuru meridani kwa taarifa
Rehema
William no mchezaji mzuri naona abaki tu chelsea
Zeiyana iddi
Chelsea..! Msiwapoteze majembe hao..!mtashuka viwango
Tahiya
Jamaa yuko vzr bdo anaitajika pale
SADICK
It’s time to say thank you Willian and Giroud and give chance to younger players #Meridianbettz
Neema juma
Kijana yuko vizurii william
Adelta
Willian Yuko vizuri sana
Theckla
Kocha yuko sahihi kwani wachezaji hawa walikuwa na msimu mzuri Sana na walikuwa wachezaji wanaojituma Sana uwanjani
Gabriel
Giroud na William wako vzur